Lilian Gerald
Member
- Dec 3, 2022
- 9
- 3
Doctor naomba unisaidie nitumie NN Kwa JICHO lililovimba na kuuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una hela nikutaftieDr naomba kujua dawa ya kukuza nywele kwa mtu mwenye early baldness 26yrs old jinsia me, yenye uwezo wa ku regrow hair kwa kichwa(kipara)
Umeend hospitalNatumaini u mzima doctor,
Familia yangu tumeugua upele, walianza watoto ,nikawatibu wakapona, kisha ukatuanza mimi na mrs wangu, kwa sisi umegoma kupona, upele huu unawasha sana, kilicho nifanya kuomba ushauri hapa ni ,sasa upele huo umeivamia zakari yangu, umejitokeza kwenye kichwa na hautoi usaha bari unatoa majimaji, hii ni nini? Nifanyeje hapa?
Hii ni kawaida tu , hivyo vipele vitapasuka na ku kauka, kikubwa usifanye ngono hadi uponeNatumaini u mzima doctor,
Familia yangu tumeugua upele, walianza watoto ,nikawatibu wakapona, kisha ukatuanza mimi na mrs wangu, kwa sisi umegoma kupona, upele huu unawasha sana, kilicho nifanya kuomba ushauri hapa ni ,sasa upele huo umeivamia zakari yangu, umejitokeza kwenye kichwa na hautoi usaha bari unatoa majimaji, hii ni nini? Nifanyeje hapa?
Natumaini u mzima doctor,

Chimba mizizi ya mlundalunda,chemsha na uitumie kwa kunywa asubuhi,mchana na jioni.Utapona kabisa.Msaada
NIKIPIGWA NA BARIDI KIDOGO TU MWILI UNATOKWA NA VIPELE( UNAVIMBA) HASA MIKONONI,NA MABEGANI, SOMETIMES HADI KWENYE MAPAJA KAMA BARIDI IKINIPIGA VIZUR
NA VIDOLE VINAPATA MAUMIVI MAKALI SANA , HALI HII IKINIKUTA HADI INAKUJA DALILI YA KI HOMA, VIDOLE VITANIUMA HADI NASHINDWA KUSHIKA VITU VIZITO HATA VYA 1KG, HASA HUU MSIMU WA BARIDI NDO NAPATA TAABU SANA. MAUMIVU YA VIDOLE HUWA NI MAKALI HADI USINGIZI UNAKATA KARIBU NUSU YA USIKU, NA VIDOLE HUVIMBA SANA.
ASUBUHI JUA LIKITOKA HADI MIDA YA MCHANA NAPONA KABISAAA,
NILIENDA HOSPITALI WAKANIAMBIA NI ARTHRITIS WAKANIPA DAWA, NIMEZITUMIA HAKUNA HATA MADALIKO YEYOTE, NILIRUDI HADI WAKANIZOEA IKAWA KILA SIKU NAKULA DAWA TU NAKUBADILISHIWA DOZI, MWISHO NIKAACHANA NAZO
KWASASA NIMEACHA TU NIMEBAKI NA MAIMIVU YANGU MWILINI HASA MSIMU HUU WA BARIDI
DAWA ASILIA NIMETUMIA SANA HADI NIKAWA MTEJA WAO, NIMEACHA ZOTE
MSAADA HATA WA MAWAZO TU
Je umewahi kupiga punyeto? Halafu pia punguza mawazo yana changia pindio
Ndio dakta niliwahi kupiga ,msaada tibas?Je umewahi kupiga punyeto? Halafu pia punguza mawazo yana changia pia.
Mmea wa mjafari ni kiboko ya tatizo hilo.Chimba mizizi yake na uchemshe ,tumia nusu glass ya robo mara 3 kwa kutwa.Ama kama unaweza kupata unga wa mizizi yake ulioandaliwa vyema,unatumia kijiko kidogo kwenye maji moto kutwa mara 3.Fanya hivyo kwa siku 7- 24.Habari zenu wakuu Mimi nasumbuliwa na tumbo Ni miezi miwili na nilienda hospitali lakini bado nasumbuliwa na tumbo sijajua labda Ni usugu wa magonjwa au Ni kawaida dalili nazo pata tumbo kuwa na joto hata nikugusa nahisi joto limeongezeka tumboni au hatanisipo gusa hisia zinanijulisha tumbo kuongezeka joto na maumivu pia choo kidogo kinaweza kuwa kigumu au kawaida pia tumbo kuunguruma...Naombeni msaada kwa kupitia ushauri wenu