Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Hivi kuchanika kwenye sehemu kama hizo kwenye kucha inasababisha na nini? Hilo tatizo linanisumbua sana kwenye vidole
20221002_083940.jpg
 
Nini shida hapa, mara nyingi nikienda sehemu zenye baridi, au ukifika msimu wa baridi napatwa na tatizo la kubanwa na kifua kama mtu mwenye homa ya niumonia mara tu ninapokunywa maji au tunda lolote lenye majimaji nyakati za asubuhi?
 
Mimi na tatizo la vidonda vya tumbo Kwa Sasa Ni kila chakula na harisha Nini shida please msaada na dawa .
 
Pia nn sababu ya vidonda vya tumbo na tumbo kujaa gesi kwa kweli nakosa raha kama awali nilivyokua wataalamu msaada.Nikienda msalaani mashuti (hewa) na choo cha mvurugo sio cha kawaida.
 
Pia nn sababu ya vidonda vya tumbo na tumbo kujaa gesi kwa kweli nakosa raha kama awali nilivyokua wataalamu msaada.Nikienda msalaani mashuti (hewa) na choo cha mvurugo sio cha kawaida.
Polee Sana mkuu,
Vipi Hali ilianzaje? Una uzito kiasi gani? Vipi ukikojoa mkojo unaisha? Vipi pumzi unaipata sawa sawa? Kuna shida yoyote ktk mfumo wako wa kupumua?
Naomba nianze kwa maswali hayo....
 
Hello DR mie natatizo lakupata fangasi za ukeni mara kwa mara na nimetumia dawa tofauti inapona inarudi tena ila juzi nimekutwa na PID so dr naomba unisaidie dawa nzuri nikitumia isijirudie maana nahitaji kupata mtt mie ni mwanamke 35 yrs
 
Hello DR mie natatizo lakupata fangasi za ukeni mara kwa mara na nimetumia dawa tofauti inapona inarudi tena ila juzi nimekutwa na PID so dr naomba unisaidie dawa nzuri nikitumia isijirudie maana nahitaji kupata mtt mie ni mwanamke 35 yrs
Kwa Ushauri wangu kwa hayo maradhi uliyo kuwa nayo utatumia dawa za hospitali sio rahisi kupona. Kwani Fangasi ya ukeni imekuwa ni sugu kutibika kw a dawa hospitali na hiyo pia PID haitibiki kw a dawa za Hospitali utatumia dawa za hospitali na sio rahisi kupona .Ukihitaji dawa nitafute mimi kw awakati wako ili niweze kukutibia upate kupona maradhi yako.

CHANZO CHA KUUMWA AINA ZOTE ZA FUNGUS NA UTI.

Nimesikiliza audio clips zenu na kusoma hoja zenu za midaharo zilizo kwenye mitandao ya kijamii zinazojadili sababu za kuumwa fungus na UTI za aina mbalimbali. Kutokana na hoja zinazopotosha members wa mitandao ya kijamii nimeamua kuwaelimisha sababu zinazosababisha kuumwa fungus za aina zote pamoja na kuumwa UTI za aina zote.

Zifuatazo ni sababu zinazosababisha kuumwa fungus za aina zote na UTI za aina zote.

1) MAAMBUKIZI
a)Maambukizi yanayotokana na kuchangia kushiriki choo za umma husababusha fungus na UTI

b) Maambukizi yanayosababishwa kwa kuvaliana nguo husababisha fungus za aina zote na UTI za aina zote

c) Maambukizi ya ngono zembe isiyosalama husababisha fungus za aina zote na UTI za aina zote.

2) UCHAFU
Uchafu upo wa aina mbalimbali ambao unasababisha fungus za aina mbalimbali na UTI za aina mbalimbali.

a)Uchafu wa nguo husababisha fungus za aina mbalimbali na UTI za aina mbalimbali.

b)Uchafu wa mwili unaotokana na kutooga au uchafu unaotokana na kutumia aina nyingi za vipodozi husababisha fungus za aina mbalimbali na UTI za aina mbalimbali.

UPUNGUFU WA VIRUTUBISHO MWILINI.

Karibu asilimia hamsini ya wagonjwa wote wa fungus za aina zote na UTI za aina zote zimesababishwa na upungufu wa Vitamin C na E.

Wapo wagonjwa wengi sana wenye fungus za aina mbalimbali na UTI za aina mbalimbali ambao ni wasafi sana kiafya na wanajilinda vizuri dhidi ya Maambukizi ya magonjwa ya aina mbalimbali yakiwemo ya fungus na UTI lakini hawakwepi kuteswa na fungus za aina mbalimbali pamoja na UTI za aina mbalimbali.

Sababu kubwa ya kuteswa kwao na maumivu ya magonjwa ya fungus na UTI ni upungufu wa Vitamin C na E.

Kila binadamu anashauriwa kula matunda yenye Vitamin C na E kila mlo wa kila siku za maisha yake. Yapo matunda mengi yenye Vitamin C na E kama vile mapapai, machungwa, maembe, mananasi na kazalika.

FANGASI UKENI.jpg
 
Mkuu mswali au naomba ushauli kutoka!!
Mke wangu anasumbuliwa na vidonda vya tumbo sasa ni wiki 4 hadi 5 tumetumia dawa nyingi sana hakuna nafuu na Leo hii amehamka anasema kooni kunamaumivu so ndugu naomba kujua dawa gani yafaa
Mkuu Pole sana kwa kuumwa na mkeo vidonda vya tumbo. Vidonda vya tumbo hakuna dawa ya hospitali inayoweza kuvitibu hivyo vidonda vya tumbo kwani Wale wadudu aka Bacteria wa Vidonda vya tumbo wanaoitwa kwa jina hili H-Pylori Helicobacter pylori hawawezi kufa kwa dawa za kizungu aka dawa za hospitali utahangaika sana Ma-Hospitali watakupa dawa za kila aina lakini sio rahisi kupona maradhi ya vidonda vya tumbo. Ushauri wangu jaribu upandemwingine jaribu kutumia dawa za asili ili uweze kumtibia mke wako apate kupona maradhi yake ya vidonda vya tumbo .Ukihitaji dawa za asili zakuweza kumtibu mke wako ninazo nitafute kwa wakati wako ili niweze kumtibia mke wako apate kupona amradhi yake auguwe pole shemeji yangu.
 
Habari swali ninamuuguza mgonjwa mwenye maambuzi ya virusi vya ukimwi kuna sindano alitumia kuhona vitambaa akaiweka chini ya mto kwa bahati mbaya wakati narudi nilifikisha mkono kukandamiza mto ilinikae ile sindano ikanichoma kiganjani mpaka damu kutoka na nisiku hiyo hiyo sindano hiyo ilimchoma muathirika je kunauwezekano wowote na mimi kupata maambukizi?
Pole sana ingawa anatumia dawa lakininenda kapime haraka iwezekanavyo. Niletee mimi huyo mgonjwa waukimwi ili nipate kumtibia na apate kupona maradhi yake atatumia dawa za kufubaza Virusi vya Ukimwi, maishani mwake mwote sio rahisi kupona maradhi yake.Niletee mimi nipate kumtibia ili aweze kupona maradhi yake ya ukimwi.
 
Habari daktari,
Je ni dawa ipi ya kutibu moyo mkubwa Hadi kupona kabisa?
Je inapatikana wapi?

Kama hamna je nini USHAURI wako juu ya tatizo Hilo?
Mkuu utahangaika hospitali kujitibia moyo mkubwa sio rahisi kupona hakuna tiba ya hayo maradhi Ma-Hospitali. Ninakushauri jaribu kumtibia au kujitibia maradhi yako ya Moyo Mkubwa kwa dawa za asili unaweza kupona lakini sio dawa za hospitali sio rahisi kupona. Ukihitaji tiba ya maradhi yako nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa pole.
 
Mkuu nitafute mimi ili nipate kukutibia hayo maradhi yako mawili PID na UTI ili upate kupona.
Doctor kwema!

Bila kupoteza muda mdo wangu alikamatwa na polisi akapigwa sana sehemu za nyanyo, sasa akivaa viatu miguu Inavimba.

Je anaweza akapata msaada Gani wa haraka au matibabu ?

Je Kuna madhara Gani hapo mbeleni?

Asante

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Samahani wakubwa naomba kuuliza ni dawa gani or nitumie nini ili kusafisha meno yawe meupee?
 
Habar wapendwa, samahani nawashwa na ndani ya Koo siku ya tatu sas anaejua dawa msaada tafadhali
 
Mamayangu ana kikohozi kisichoisha tangia mwaka 2016, ashapimwa vipimo vyote hadi kifua na koo lakini hajaonekana na tatizo lolote sanasana daktari anamwambia ana kikohozi cha aleji, dawa katumia hadi kachoka. Msaada tafadhali🥲
 
Back
Top Bottom