Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Habari daktari,
Je ni dawa ipi ya kutibu moyo mkubwa Hadi kupona kabisa?
Je inapatikana wapi?

Kama hamna je nini USHAURI wako juu ya tatizo Hilo?
 
Habari swali ninamuuguza mgonjwa mwenye maambuzi ya virusi vya ukimwi kuna sindano alitumia kuhona vitambaa akaiweka chini ya mto kwa bahati mbaya wakati narudi nilifikisha mkono kukandamiza mto ilinikae ile sindano ikanichoma kiganjani mpaka damu kutoka na nisiku hiyo hiyo sindano hiyo ilimchoma muathirika je kunauwezekano wowote na mimi kupata maambukizi?
 
Abari za saiz dokta pamoja na dugu wote humu jf naomba msaada n vyakula gan au nn nitumie kupunguza damu mwilin imekuwa nying mpaka naumwa kichwa mara kwa mara nimepima iko 19
Mara nyingi dawa huwa ni kudonate. Linaitwa polycythemia vera. Utakuta na mwili unawasha ukioga.
 
Habari swali ninamuuguza mgonjwa mwenye maambuzi ya virusi vya ukimwi kuna sindano alitumia kuhona vitambaa akaiweka chini ya mto kwa bahati mbaya wakati narudi nilifikisha mkono kukandamiza mto ilinikae ile sindano ikanichoma kiganjani mpaka damu kutoka na nisiku hiyo hiyo sindano hiyo ilimchoma muathirika je kunauwezekano wowote na mimi kupata maambukizi?
Huyo mgonjwa si anatumia dawa? Ni risky zaidi Kam angekuwa hatumii dawa
 
Mm shida yangu yani kila nikitaka kufanya mapenzi uume unalala ila kama tunashikana unakua vizur shida nikitaka kuingiza
 
Mm shida yangu yani kila nikitaka kufanya mapenzi uume unalala ila kama tunashikana unakua vizur shida nikitaka kuingiza
Kwa wote au baadhi, sometimes ni akili yako tu nishawah kupitia ila Nika overcome hyo Hali na pia kama mtu hujamuelewa hyo inatokea sana
 
wakuu ningependa kufahamu madhara yatokanayo na kufanya mapenzi na mwanamke akiwa breed na suluhisho lake nilipi maana leo nimeamka kiuno kinaniuma balaa'note sikuwa nafahamu hapo kabla
Inaweza ikawa infection zanjia ya mkojo, UTI au nyingine, check hospital Kisha tumia dawa
 
Msaada wataalam,, mtoto wangu ametokewa na hako kauvimbe kwenye ulimi,,,, nasubiri afunge shule nimpeleke hospital,,,, nimeona nipite hapa japo nipate mwanga wa hili tatizo,,,, nasubiri tafadhali
Screenshot_20220711-220841.jpg
 
Kwa mtu mwenye shida ya moyo valvu mojawapo imelegea anasaidiwaje kimbadala mbadala?
 
Mkuu mswali au naomba ushauli kutoka!!
Mke wangu anasumbuliwa na vidonda vya tumbo sasa ni wiki 4 hadi 5 tumetumia dawa nyingi sana hakuna nafuu na Leo hii amehamka anasema kooni kunamaumivu so ndugu naomba kujua dawa gani yafaa
 
Mkuu ramipril ni dawa inayotumia kushusha presha au kwa watu wenye matatizo ya moyo(heart failure,au kwa watu waliopatwa na heart attack inatumika kama prophylaxis),inaweza kutumika pia kwa watu wenye matatizo ya mafigo(diabetisk nephropathy).
W pop z
 
Dkt habari naomba msaada mwili wangu nkijikuna natoka vipele vdogovdog sehem zote za mwili.
 
Back
Top Bottom