Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Hi Dr...!mimi ni kijana miaka 25.nina tatizo la kuugua mafua ya mara kwa mara.na sasa nina kipindi cha miezi sita,nimepoteza uwezo wa kusikia harufu na radha ya chochote.na kwa kipindi chote hiki,mafua yanapona na kunirudia lakini kwa kipindi chote hiki uwezo wa kuckia harufu na radha haujanirudia!nini tatizo na hipi tiba yake?
 
Habar yako na heshiima zikufunike, nasikia kuna vidonge vya kumeza ili majipyasinisumbue milele, plz naomba nijuze ni vidonge gani
 
Habari. Naomba kuuliza ni lini mwanamke huanza kupoteza hamu ya tendo la ndoa. Wife ni mwezi wa pili sasa anasema hajisikii kufanya tendo la ndoa. Umri 46 years. Hataki kuniweka wazi tatizo lake. Nikajiuliza inawezekana ndo umri wa kushindwa kushiriki tendo la ndoa? Hajaniweka wazi tatizo lake na sina uhakika kama ana mchepuko. Ushauri tafadhali.
 
Habari yako Dr, ninatatizo la vidole vya mikono kufa ganzi tatizo linaweza kuwa nini, na tiba yake ni nini.
 
dr kuna dawa umeitaja hapo juu kuwa inatumika kwa wagonjwa wa Asthma ila mume wangu namuona anatumia na hana Asthma pia uvitumia akiwa kanywa pombe msaada pliz
 
Elow dr,naomb msaada wa komesha chunus kwa mwanaum ambaye ana ngozi ya mafuta sn uson,hapak mafut hata cku moja uson,ila kila anapobadilisha mkoa kwenda mwingine bas rashes zinamwandam hasa hasa akiw daa kweny joto kali...ningependelea zaid kujua tiba asilia sio cream
 
Nina tatizo la mood disorder,je waweza kunishauri hospitali sahihi yenye wataalamu wa kunisaidia pse?
 
Hello doc, asante kwa hii thread. Naomba msaada nina mtt wa miaka miwili anakohoa wiki na zaidi sasa. Alipewa dawa ya kifua naona haijasaidia. Akapewa na ya minyoo baada ya kupimwa na kukutwa nayo ila bado anakohoa huku anaumia. Tukamrudisha tena akapewa antibiotics na dawa ya kifua akabadilishiwa. Leo ni siku ya tatu anatumia lakin naona bado anakohoa vilevile. Hana homa lakin hali vzr. Nisaidie gorgeousmimi
 
Habari Za kazi doctor pole Na majukumu, mimi Nina mtoto wangu wa miaka mitano tatizo lake kinywa kinatoa hewa chafu anapoongea kitu ambacho si cha kawaida mswaki anapiga mara mbili lkn baada ya muda mchache tu kinaanza tena sijui ni tatizo gani Na tutumie dawa gani
 
Habari dr hivi maumivu ya fizi ni sehemu ya dalili ya ugonjwa Wa sukari?
 
Habar..doctor nnamaumivu ya sikio limevimba ndan kutaka kuziba tundu tatzo limetokea baada ya kuwa na vidonda kichwan upande wa kushoto..naomba msaada wa dawa
 
Habari dokta. Naomba kujua tiba (dawa ya masundosundo sehemu za siri) maana huyu ndugu yangu alitibiwa ila yanarudi tena baada ya muda. Hana amani anateseka sana. Bila shaka atapata jibu sahihi kutoka kwako na hospitali alishapewa dawa ila baada ya muda yanarudi.
 
Back
Top Bottom