Nakaribisha mdau kiwanda kidogo Cha furniture

Nakaribisha mdau kiwanda kidogo Cha furniture

Hakika ww ni mtu makini mno.



KAZI ni kipimo cha UTU
 
Kwa maelezo yako yasiyojitosheleza bila picha then unataka watu serious na pesa zao wafanye kazi na wewe, Kuwa serious kidogo toa maelezo yanayoeleweka na picha
 
tangazo makini sana hivi ndivyo tunataka sio mtu unakuja na tangazo halijajitosheleza alafu anataka watu waweke pesa....... hongera sana mkuuu soon unapata (mbia) wako wa baridiiii kama barafu
 
Uko vizuri sana, tangazo limenyooka sana. Wenzako waige huu mfano
 
Back
Top Bottom