tangazo limejitosheleza sana mkuu,picha za kutosha na maelezo yaliyonyooka kabisa!hivi ndo inavotakiwa unapotafuta mtu wa kushirikiana nae kwenye biashara
Kwa maelezo yako yasiyojitosheleza bila picha then unataka watu serious na pesa zao wafanye kazi na wewe, Kuwa serious kidogo toa maelezo yanayoeleweka na picha
tangazo makini sana hivi ndivyo tunataka sio mtu unakuja na tangazo halijajitosheleza alafu anataka watu waweke pesa....... hongera sana mkuuu soon unapata (mbia) wako wa baridiiii kama barafu