Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
Sio single maza lakini?Mke wangu kila dakika ananiambia ananipenda!! Mpaka nakasirika
Wataalam kuna haja gani ya kila mara kumwambia mtu haya maneno!!
Mbaya zaidi ananilazimisha namm kila mara nimwambie maneno haya haya!!
Aisee sijawai kuwa kwene mapenzi yenye usumbufu kama haya
Chaa ajabu it cost nothing kumwambia mtu unampenda, kuna watu hua wanajikuta wako serious sana na haya maisha kuliko akina EinsteinNa wewe mwambie hivyo hivyo nakupenda mama la mama my African queen, mke wa ndoto zangu
Wanawake ndio wanapenda kusikia hivyo
Nadhani tunafananaNahisi wewe ni mimi coz wanawake wengi sana niliowaacha niwale walionipenda kupitiliza mi ni mwoga sana wakuwa chizi au kuuliwa
Sitaki nipumbazwe na hilo pia,,,,........Wapaka rangi za kucha wanawatia wake za watu kwa vitu vidogo sana kama hivyo, wewe Endelea kutopenda kuitwa hivyo, mpaka DNA ije kukufumbua macho kuwa watoto wanaokuita baba siyo wako.
Hapana hana usingle maza wowoteSio single maza lakini?
Hapana hiko ni kitu kidogo aisee naweze vumiliapiga chini acha kuremba mwandiko.
Basi sawaHapana hana usingle maza wowote
HahahaMshukuru Dkt Samia Hassan Suluhu
Tazama matendo tu.Hata mimi sipendi kuambiwa maneno marahisi ya aina hiyo i,e nakupenda,pole,samahani etc...nafikiri tuna tatizo mkuu