Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Wanadam hivi Mungu awape nini? Ukipendwa shida usipo pendwa napo shidaMke wangu kila dakika ananiambia ananipenda mpaka nakasirika.
Wataalamu kuna haja gani ya kila mara kumwambia mtu haya maneno. Mbaya zaidi ananilazimisha na mimi kila mara nimwambie maneno haya haya!
Aisee sijawai kuwa kwenye mapenzi yenye usumbufu kama haya.
sasa mbona unalia lia kifalaHapana hiko ni kitu kidogo aisee naweze vumilia
Kweli mkuuChaa ajabu it cost nothing kumwambia mtu unampenda, kuna watu hua wanajikuta wako serious sana na haya maisha kuliko akina Einstein
🤣🤣🤣🥴Nahisi wewe ni mimi coz wanawake wengi sana niliowaacha niwale walionipenda kupitiliza mi ni mwoga sana wakuwa chizi au kuuliwa
Mke wangu kila dakika ananiambia ananipenda mpaka nakasirika.
Wataalamu kuna haja gani ya kila mara kumwambia mtu haya maneno. Mbaya zaidi ananilazimisha na mimi kila mara nimwambie maneno haya haya!
Aisee sijawai kuwa kwenye mapenzi yenye usumbufu kama haya.
hela sina nampa nn sasa labda showEither unaibiwa au unampa hela bila sababu.
Anaamini ndio upendo
Nadhan unanielewaUkute kwenye kuchat kila mda anasisitiza inakera sana
Kuna jambo anaficha.....Mke wangu kila dakika ananiambia ananipenda mpaka nakasirika.
Wataalamu kuna haja gani ya kila mara kumwambia mtu haya maneno. Mbaya zaidi ananilazimisha na mimi kila mara nimwambie maneno haya haya!
Aisee sijawai kuwa kwenye mapenzi yenye usumbufu kama haya.
Acha Kukariri, hata umwambie Mkeo kila sekunde kwa mwaka mzima, kuwa unampenda kufa....bado akitaka anaenda Kuliwa uroda hata na Muuza Mkaa!!........Wapaka rangi za kucha wanawatia wake za watu kwa vitu vidogo sana kama hivyo, wewe Endelea kutopenda kuitwa hivyo, mpaka DNA ije kukufumbua macho kuwa watoto wanaokuita baba siyo wako.
Tuliosoma Cuba tumekuelewaIpo siku utalia na kusaga meno
Kabisa shem...muda utaongea😅Tuliosoma Cuba tumekuelewa
nakazia.Mshukuru Dkt Samia Hassan Suluhu