Nakasirika kila mara mke wangu ananiambia ananipenda. Kuna haja gani sasa?

Mtafutie kazi ya kumpa ubize, kichwa kipo idle mkuu, yaani firiiii

Hata pengine ni kutaka akukipu bize uamini maneno yake wakati ana mochepuko

Hebu fuatililia kujua km hana mochepuko
 
Acha hizo hiyo ni sehemu ya mapenzi... Kama humpendi si waachie wenzio....mbona kugegeda huchoki?
 
JUKUMU LA KUPENDA NI LA MWANAUME, MWANAMKE NI KUTII

(ACCORDING TO BIBLE)... WANAUME WAPENDENI WAKE ZENU.....
 
Na wewe mwambie hivyo hivyo nakupenda mama la mama my African queen, mke wa ndoto zangu
Wanawake ndio wanapenda kusikia hivyo
Jamaa haelewi wanawake wanapenda sifa hata kama ana vijipu uchungu unamwambia mke wangu una shindu la kwenda yan hakuna wa kufanana nawe my sweet baby, darling, nyongo mkalia ini, mkuu unapungukiwa nini ukisema ivyo ?
 
Aisee sijawai kuwa kwenye mapenzi yenye usumbufu kama haya.
Kimeshanuka yaan wewe Si umeoa juzi TU hapo hata wiki huna ushaanza kujiliza ngoja wanapenda kumwambia hivyo na kuambiwa hivyo warushe kamba utaelewa somo
 
Achana naye atakua sio muaminifu anakuzuga kwa maneno matamu. Mpe talaka 3. Halafu sogeza kitu kipya.
 
Na wew mwambie unampend , daw ya Moto ni moto
 
Kumwambia mwanamke unampenda. Usiache

Mwanamke anapenda assurance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…