Nakasirika kila mara mke wangu ananiambia ananipenda. Kuna haja gani sasa?

Mimi mpenz wangu nae siku hizi ndio ameanza tabia hii, kila mda nakupenda mara nini sijui nini mpka naogopa au ndio staili mpya ya kuchepuka nini ili nisimstukue? Au ananiseti anipega hela maana skukuu karibuni tu hapa sielewi.
Mara nyingi ukiona, tabia imekuja ghafla ujue kashaanza kuchepuka ndo vinajishtukiaga
 
Shtuka....unaibiwa. over
 
Subiri Upangwe wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…