Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Punguza jazba, limetafutwa goal bora hio yakusema kama goli halikuchaguliwa eti nigoli baya niuwendawazim wakoAisee utoaji wa tuzo una changamoto sana, nakataa goli alilofunga Mayele na kutwaa tuzo sio bora msimu huu, kusema lile goli alilofunga Maguri ni baya? Lile goli la Ntibazonkiza akiwa Geita ni baya? Goli alilofunga Sakho vs Singida ni baya? Je goli la Ilanfya lililoshindanishwa na la Mayele limezidiwa kiwango na lile la Mayele, hapana, hapana, hapana.
Ila nakubali 100% kuwa Mayele anastahili kuwa mchezaji bora msimu huu.
Wanaposema goli bora, hawamaanishi mengine ni mabayaAisee utoaji wa tuzo una changamoto sana, nakataa goli alilofunga Mayele na kutwaa tuzo sio bora msimu huu, kusema lile goli alilofunga Maguri ni baya? Lile goli la Ntibazonkiza akiwa Geita ni baya? Goli alilofunga Sakho vs Singida ni baya? Je goli la Ilanfya lililoshindanishwa na la Mayele limezidiwa kiwango na lile la Mayele, hapana, hapana, hapana.
Ila nakubali 100% kuwa Mayele anastahili kuwa mchezaji bora msimu huu.
Nyege zinamsumbua huyo. Gubu la kufanya vibaya. Anaona goli la mayele ni rahisi kwa kuangalia alipofungia pasipo kuangalia kabla ya kupiga mpira alifanya jitihada gani hadi kutengeneza mazingira ya kufunga yawe rahisi.Tatizo tunazidisha mahaba sana kwenye vitu rahisi tu, yani mtu kasimama na kupiga mpira unamshinda kipa na kuingia unalinganisha goli lake na la mtu alotoka na mpira nyuma anakimbia nao huku anawala chenga mabeki na kumhadaa kipa then anafunga?! Unajua maana Efforts, Loads & Efficiency?! Nani katumia efforts, energy, skills & technique nyingi kati yao?!
Heavy metal… Klopp mtupu🤣🤣🤣🤣Tatizo tunazidisha mahaba sana kwenye vitu rahisi tu, yani mtu kasimama na kupiga mpira unamshinda kipa na kuingia unalinganisha goli lake na la mtu alotoka na mpira nyuma anakimbia nao huku anawala chenga mabeki na kumhadaa kipa then anafunga?! Unajua maana Efforts, Loads & Efficiency?! Nani katumia efforts, energy, skills & technique nyingi kati yao?!
Halafu mchezaji bora awe nani mkuu kwa hao waliokuwa nae kwenye kinyang'anyiroGoli linastahili kabisa!
Bora ungetilia shaka Mayele kuwa mchezaji bora.
Hilo goli ni gumu sana kulifunga. Mayele katoka kushoto kwenda kulia lakini kafunga kwa mguu wa shoto.
Anastahili pongezi zooteeee
Angalia umbali aliwatoa hao mabeki, angalia alichowaganya na gorikipa wao... Automatically ni gori la uwezo sio Gori la kupewa pasi nakupiga gorini!.
Bado mnatafuta furaha 🙄 Basi wapewe na babu Saido naona mishipa ilimtoka baada ya kusikia Mvp ni Mayesa
Samahan, ni goli la match ganAngalia umbali aliwatoa hao mabeki, angalia alichowaganya na gorikipa wao... Automatically ni gori la uwezo sio Gori la kupewa pasi nakupiga gorini!.
Bado mnatafuta furaha 🙄 Basi wapewe na babu Saido naona mishipa ilimtoka baada ya kusikia Mvp ni Mayele.
Aisee utoaji wa tuzo una changamoto sana, nakataa goli alilofunga Mayele na kutwaa tuzo sio bora msimu huu, kusema lile goli alilofunga Maguri ni baya? Lile goli la Ntibazonkiza akiwa Geita ni baya? Goli alilofunga Sakho vs Singida ni baya? Je goli la Ilanfya lililoshindanishwa na la Mayele limezidiwa kiwango na lile la Mayele, hapana, hapana, hapana.
Ila nakubali 100% kuwa Mayele anastahili kuwa mchezaji bora msimu huu.
Lile goli lilikuwa kali saana mzee, wangekata rufaa hawa.La Azizi Ki dhidi ya Makolo lilistahili..