Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Aisee utoaji wa tuzo una changamoto sana, nakataa goli alilofunga Mayele na kutwaa tuzo sio bora msimu huu, kusema lile goli alilofunga Maguri ni baya? Lile goli la Ntibazonkiza akiwa Geita ni baya? Goli alilofunga Sakho vs Singida ni baya? Je goli la Ilanfya lililoshindanishwa na la Mayele limezidiwa kiwango na lile la Mayele, hapana, hapana, hapana.
Ila nakubali 100% kuwa Mayele anastahili kuwa mchezaji bora msimu huu.
Ila nakubali 100% kuwa Mayele anastahili kuwa mchezaji bora msimu huu.