Nakataa goli la Mayele sio bora msimu huu, tusidanganyane

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Aisee utoaji wa tuzo una changamoto sana, nakataa goli alilofunga Mayele na kutwaa tuzo sio bora msimu huu, kusema lile goli alilofunga Maguri ni baya? Lile goli la Ntibazonkiza akiwa Geita ni baya? Goli alilofunga Sakho vs Singida ni baya? Je goli la Ilanfya lililoshindanishwa na la Mayele limezidiwa kiwango na lile la Mayele, hapana, hapana, hapana.

Ila nakubali 100% kuwa Mayele anastahili kuwa mchezaji bora msimu huu.
 
Punguza jazba, limetafutwa goal bora hio yakusema kama goli halikuchaguliwa eti nigoli baya niuwendawazim wako
 
Aisee utoaji wa tuzo una changamoto sana, nakataa goli alilofunga Mayele na kutwaa tuzo sio bora msimu huu, kusema lile goli alilofunga Maguri ni baya? Lile goli la Ntibazonkiza akiwa Geita ni baya? Goli alilofunga Sakho vs Singida ni baya? Je goli la Ilanfya lililoshindanishwa na la Mayele limezidiwa kiwango na lile la Mayele, hapana, hapana, hapana.

Ila nakubali 100% kuwa Mayele anastahili kuwa mchezaji bora msimu huu.
Wanaposema goli bora, hawamaanishi mengine ni mabaya
 
Tatizo tunazidisha mahaba sana kwenye vitu rahisi tu, yani mtu kasimama na kupiga mpira unamshinda kipa na kuingia unalinganisha goli lake na la mtu alotoka na mpira nyuma anakimbia nao huku anawala chenga mabeki na kumhadaa kipa then anafunga?! Unajua maana Efforts, Loads & Efficiency?! Nani katumia efforts, energy, skills & technique nyingi kati yao?!
 
Nyege zinamsumbua huyo. Gubu la kufanya vibaya. Anaona goli la mayele ni rahisi kwa kuangalia alipofungia pasipo kuangalia kabla ya kupiga mpira alifanya jitihada gani hadi kutengeneza mazingira ya kufunga yawe rahisi.
 
Tatizo tunazidisha mahaba sana kwenye vitu rahisi tu, yani mtu kasimama na kupiga mpira unamshinda kipa na kuingia unalinganisha goli lake na la mtu alotoka na mpira nyuma anakimbia nao huku anawala chenga mabeki na kumhadaa kipa then anafunga?! Unajua maana Efforts, Loads & Efficiency?! Nani katumia efforts, energy, skills & technique nyingi kati yao?!
Heavy metal… Klopp mtupu🤣🤣🤣🤣
 
Goli linastahili kabisa!
Bora ungetilia shaka Mayele kuwa mchezaji bora.
Hilo goli ni gumu sana kulifunga. Mayele katoka kushoto kwenda kulia lakini kafunga kwa mguu wa shoto.
Anastahili pongezi zooteeee
Halafu mchezaji bora awe nani mkuu kwa hao waliokuwa nae kwenye kinyang'anyiro
 
Angalia umbali aliwatoa hao mabeki, angalia alichowaganya na gorikipa wao... Automatically ni gori la uwezo sio Gori la kupewa pasi nakupiga gorini!.
Bado mnatafuta furaha 🙄 Basi wapewe na babu Saido naona mishipa ilimtoka baada ya kusikia Mvp ni Mayele.
 
Bado mnatafuta furaha 🙄 Basi wapewe na babu Saido naona mishipa ilimtoka baada ya kusikia Mvp ni Mayesa

Angalia umbali aliwatoa hao mabeki, angalia alichowaganya na gorikipa wao... Automatically ni gori la uwezo sio Gori la kupewa pasi nakupiga gorini!.
Bado mnatafuta furaha 🙄 Basi wapewe na babu Saido naona mishipa ilimtoka baada ya kusikia Mvp ni Mayele.
Samahan, ni goli la match gan
 
Bao LA Kibu D dhidi ya utopoloo lilistahili, sio kwa mfataki ulee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Kwenye bao boraa hapanaa, Mayele hastahili, ukweli usemwee.
 
Aisee utoaji wa tuzo una changamoto sana, nakataa goli alilofunga Mayele na kutwaa tuzo sio bora msimu huu, kusema lile goli alilofunga Maguri ni baya? Lile goli la Ntibazonkiza akiwa Geita ni baya? Goli alilofunga Sakho vs Singida ni baya? Je goli la Ilanfya lililoshindanishwa na la Mayele limezidiwa kiwango na lile la Mayele, hapana, hapana, hapana.

Ila nakubali 100% kuwa Mayele anastahili kuwa mchezaji bora msimu huu.

Kakojoe ulale sasa
 
Back
Top Bottom