3ZOV
JF-Expert Member
- Dec 28, 2020
- 6,259
- 7,015
Mbona kimya
aKolo kama wewe nani anataka kubishana na wewe.. subiria saa 9:10
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aKolo kama wewe nani anataka kubishana na wewe.. subiria saa 9:10
Mbona kimya
a
Ni saa Tisa na dakika kumi usiku huu.. nadhan utakuwa umeelewa
Kwahiyo GSM alikuwa mgombea?Nakataaa kataa kataa yanga haina uwezo wa kumsajili aziz ki hii ni kampeni iliyotumiwa na gsm kushinda urais, aziz ki anaenda ulaya hawezi kuja utopolo
Tulia wewe Kolo.. Yanga ni wabuni wa Kila kitu Dunia hii.. Dunia yote Hadi Sasa haijalala watu wanasubiria usajiri alfajiriMmekuwa wanga hadi mtambulishe saa tisa usiku?
Shombe la Kisomali au huyo mchezaji wenu mmemchukua kimagendo mnaogopa kushikwa na wenyewe?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Safari hii maji mtaita mma.
ikifika 9:10 sijui utawaambia nini watuNakataaa kataa kataa yanga haina uwezo wa kumsajili aziz ki hii ni kampeni iliyotumiwa na gsm kushinda urais, aziz ki anaenda ulaya hawezi kuja utopolo
Akifika watabadili manenoKwa hiyo nyie mlivyopigwa cha mbavu na Victorien Adebayor mkajua na sisi Yanga Aziz Ki hatokuja... tulia wewe, na tutawashangaza sana hii wiki
Ngumu kumeza ila vumilia tu
Tutamshika vizuri we ngojaAkifika watabadili maneno
Makolo wanaingia msimu mpya wa mateso tenaTutamshika vizuri we ngoja
HawataaminiMakolo wanaingia msimu mpya wa mateso tena
Mbona kama vile kauli zinaanza kubadilika! Wananchi tushike kauli moja ya rais wetu na msemaji wa timu. Rais alisema tumchague atamleta Aziz Ki, na msemaji akakazia kwa kusema Aziz Ki asiposaini Yanga mwaka huu, yeye ataacha kuwa msemaji wa wananchiKwani hata akienda huko ulaya, Yanga itakufa? Au hata akisajiliwa atakuwa anacheza peke yake uwanjani?
Hata kama alitumika kwa ajili ya kampeni, shida iko wapi?
Enhee Unasemaje Sasa?Mbona kama vile kauli zinaanza kubadilika! Wananchi tushike kauli moja ya rais wetu na msemaji wa timu. Rais alisema tumchague atamleta Aziz Ki, na msemaji akakazia kwa kusema Aziz Ki asiposaini Yanga mwaka huu, yeye ataacha kuwa msemaji wa wananchi
Ficha upumbavu wako basi mtoto mzuriNakataaa kata kata Yanga haina uwezo wa kumsajili Aziz Ki hii ni kampeni iliyotumiwa na GSM kushinda Urais, Aziz Ki anaenda Ulaya hawezi kuja utopolo.
Halafu mida yetu ya kutambulisha huwa ni ile ile usiku mnene. LolKwa hiyo nyie mlivyopigwa cha mbavu na Victorien Adebayor mkajua na sisi Yanga Aziz Ki hatokuja... tulia wewe, na tutawashangaza sana hii wiki
Ngumu kumeza ila vumilia tu