Nakataa kata kata Yanga SC haina uwezo wa kumsajili Azizi Ki

Nakataaa kata kata Yanga haina uwezo wa kumsajili Aziz Ki hii ni kampeni iliyotumiwa na GSM kushinda Urais, Aziz Ki anaenda Ulaya hawezi kuja utopolo.
Hivi mtu kama wewe tukuiteje? Wakati mwingine ficha Upuuzi wako
 
Nakataaa kata kata Yanga haina uwezo wa kumsajili Aziz Ki hii ni kampeni iliyotumiwa na GSM kushinda Urais, Aziz Ki anaenda Ulaya hawezi kuja utopolo.

Wewe ni Fala Kiko wapi sasa!? Acha viapo vya damu mzee utaumizwa nyuma
 
Back
Top Bottom