Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Unilazimishe nilale kwani huu mwili ni wako..? Yaan mwili wangu halafu unipangie matumizi. Kuna siku ulinipa hata mchago wa kulalia.. tulia weweHujalala wewe na ujinga wako mtu mwenye akili timamu lazima azingatie ushauri wa watalaam kulala mapema
Ila kwa vile ni mambwa kazi yenu kubweka usiku lazima mkeshe
mida hiyo makolo washalala, ila jana walikesha macho kodoHalafu mida yetu ya kutambulisha huwa ni ile ile usiku mnene. Lol
NAUNGA MKONO HOJAJF wangeanzisha utaratibu wa kupima watu akili kabla ya kuwaruhusu kujiunga
NDEMBENDEMBEMleta uzi una hali gani huko uliko. 🤣🤣
Shida zako hizoUnilazimishe nilale kwani huu mwili ni wako..? Yaan mwili wangu halafu unipangie matumizi. Kuna siku ulinipa hata mchago wa kulalia.. tulia wewe
pole yakoMmeniumbua vibaya wananchi[emoji23][emoji23]
Umejificha mabwepande au misitu ya minziro uko bukoba? Yanga keshamaliza mchezo njoo na jingine Kama lipoNakataaa kata kata Yanga haina uwezo wa kumsajili Aziz Ki hii ni kampeni iliyotumiwa na GSM kushinda Urais, Aziz Ki anaenda Ulaya hawezi kuja utopolo.
Hivi mtu kama wewe tukuiteje? Wakati mwingine ficha Upuuzi wakoNakataaa kata kata Yanga haina uwezo wa kumsajili Aziz Ki hii ni kampeni iliyotumiwa na GSM kushinda Urais, Aziz Ki anaenda Ulaya hawezi kuja utopolo.
Teh tehNakataaa kata kata Yanga haina uwezo wa kumsajili Aziz Ki hii ni kampeni iliyotumiwa na GSM kushinda Urais, Aziz Ki anaenda Ulaya hawezi kuja utopolo.
Nakataaa kata kata Yanga haina uwezo wa kumsajili Aziz Ki hii ni kampeni iliyotumiwa na GSM kushinda Urais, Aziz Ki anaenda Ulaya hawezi kuja utopolo.