Nakemea vikali hoja ya kuwa walimu wa msingi kuwa walifeli kidato cha nne

tuwe wakweli

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2014
Posts
223
Reaction score
59
Nani kawaambia hayo? wengine tulifaulu vzr fm 4 na tulikuwa na sifa za kujiunga "A" level ila kwa hiari zetu tukaenda teaching as a right way of achieving triumphs,sasa wale wanaobwatuka2 eti wlm wa pr. walifeli mthn wa fm 4 wafunge bakuli lao.
 
Hivi kwa mwandiko huo na wewe ni mwalimu kweli? Tuanzie hapo kwanza
 
Mmh kabisa ulipenda hivyo na changamoto zake...
By the way tupia matokeo yako ya O level
 
Hivi kwa mwandiko huo na wewe ni mwalimu kweli? Tuanzie hapo kwanza

hao ndiyo wanaitwa walimu wa kizazi kipya..wanafunzi wao ndiyo hawa wanaandika "mungu" instead of "Mungu/MUNGU" na hata hawashtuki...
 
Kufeli kitu gani kama ni kufeli wengine leo tusingekuwa na masters!!
 
Nani kawaambia hayo? wengine tulifaulu vzr fm 4 na tulikuwa na sifa za kujiunga "A" level ila kwa hiari zetu tukaenda teaching as a right way of achieving triumphs,sasa wale wanaobwatuka2 eti wlm wa pr. walifeli mthn wa fm 4 wafunge bakuli lao.

Ulivyokuja mbio unawathibitishia hao waliosema umefeli kidato cha nne
 
Nani kawaambia hayo? wengine tulifaulu vzr fm 4 na tulikuwa na sifa za kujiunga "A" level ila kwa hiari zetu tukaenda teaching as a right way of achieving triumphs,sasa wale wanaobwatuka2 eti wlm wa pr. walifeli mthn wa fm 4 wafunge bakuli lao.

Pole sana!
 
Kweli,wengi walienda kusoma ualimu kwa sababu wamekosa credit 3 ijapo walifaulu,lakini baadhi tumesomea kwa sababu ya plan fulani tu za kimaisha,so naudhika wanaposema tulifeli.Kuweni waungwana kwa kauli zenye kubainisha ukweli.
 
Nani kawaambia hayo? wengine tulifaulu vzr fm 4 na tulikuwa na sifa za kujiunga "A" level ila kwa hiari zetu tukaenda teaching as a right way of achieving triumphs,sasa wale wanaobwatuka2 eti wlm wa pr. walifeli mthn wa fm 4 wafunge bakuli lao.

Nadhan uache uongo mkuu, usomi wa mtu huonekana kwa matendo, kwa hizi complains tu ni wazi ulifeli kabida form four.

Kumbuka watu wafupi ndo hulazimisha siku zote waonekane ni warefu (this is too psychological but very open) hicho ndo ulichokifanya, ila pole sana, kufeli form four si kufeli maisha.
 
Complains hazithibitishi unachosema,uzuri sijaumbwa kueleza wasifu wa kitu ambacho sina,ila umma ujue kubainisha ukweli kwa ushahidi na si kuendelea kuidhalilisha taaluma ya ualimu kwa hoja za uongo
 
Wangapi Wanamadegree lkn wapo mtaani mpaka Leo wanasubiri majibu walikoapply.... Achana nao wasikupe stress ndugu wamesoma ndio na walifaulu wana GPA nzur lakini wanazunguka na bahasha za kaki na sori ya kiatu imeishaje na ata akisimama hapo wewe unaonekana unathamani.... Ata alieikomboa nchi alikua mwalimu.... Sio kama mlifeli hapana!! Ila hamjafikia kiwango wanachotaka... Walofeli ni wale walozungusha na wale wenye mapoint ya 30 na...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…