Nakemea vikali hoja ya kuwa walimu wa msingi kuwa walifeli kidato cha nne

Nakemea vikali hoja ya kuwa walimu wa msingi kuwa walifeli kidato cha nne

Walimu wa primary wa kizazi hki wengi hamna kitu kichwani,walifeli sema tu system ikaamua kuwabeba..mfano hai ni we mwenyewe mleta mada,uandishi wako tu unaonyesha ni bogus.
 
Nani kawaambia hayo? wengine tulifaulu vzr fm 4 na tulikuwa na sifa za kujiunga "A" level ila kwa hiari zetu tukaenda teaching as a right way of achieving triumphs,sasa wale wanaobwatuka2 eti wlm wa pr. walifeli mthn wa fm 4 wafunge bakuli lao.

Kwako sawa mkuu ila asilimia kubwa walikosa nafasi/credit za kujiunga A-Level
Na sio hvyo wengine hadi vyeti vya kununua 😕:thumbup:
 
Nani kawaambia hayo? wengine tulifaulu vzr fm 4 na tulikuwa na sifa za kujiunga "A" level ila kwa hiari zetu tukaenda teaching as a right way of achieving triumphs,sasa wale wanaobwatuka2 eti wlm wa pr. walifeli mthn wa fm 4 wafunge bakuli lao.

Mwalimu wa Tanzania hii hii au wapi?acha fix hapa...walimu wa primary ni failures..

Nilimkuta mmoja anawafundisha watoto darasani eti -3 kutoa -5 jibu ni -8, pumbavu kabisa.
 
Mwalimu wa Tanzania hii hii au wapi?acha fix hapa...walimu wa primary ni failures..

Nilimkuta mmoja anawafundisha watoto darasani eti -3 kutoa -5 jibu ni -8, pumbavu kabisa.

Hahahahahaa....
 
Labda uniambie walimu wale wa zamani....wa kizazi hiki cha smat fon ni vilaza tyuu
 
Sibishi kwa asilimia zote wakuu,ni kweli baadhi wapo wanayo hayo mnayoyasema but ninachopinga ni ku generalize,yapendeza kubainisha data,kashfa hizi zawachafua hata wasio stahili
 
Sibishi kwa asilimia zote wakuu,ni kweli baadhi wapo wanayo hayo mnayoyasema but ninachopinga ni ku generalize,yapendeza kubainisha data,kashfa hizi zawachafua hata wasio stahili

Research nyingi unazoziona humu duniani zime-base kwenye generalization.....unaposema tusigeneralize wakati tuna data na evidence za kutosha sijui unajaribu kutuambia nini..... Hizo za kufaulu na kuacha kwenda form five badala yake mtu anaenda chuoni ipo lakini ni mara chache sana....
 
Polisi wengi ndio wamefeli. Ndio maana hata uwezo wao wa kufanya maamuzi ni mdogo sana
 
Ukweli utabaki kuwa ukweli, kama asilimia kubwa ni failure kwanini tushindwe kusema hivyo!
 
Wangapi Wanamadegree lkn wapo mtaani mpaka Leo wanasubiri majibu walikoapply.... Achana nao wasikupe stress ndugu wamesoma ndio na walifaulu wana GPA nzur lakini wanazunguka na bahasha za kaki na sori ya kiatu imeishaje na ata akisimama hapo wewe unaonekana unathamani.... Ata alieikomboa nchi alikua mwalimu.... Sio kama mlifeli hapana!! Ila hamjafikia kiwango wanachotaka... Walofeli ni wale walozungusha na wale wenye mapoint ya 30 na...

Mi nadhani tuache kusifia ujinga... maana halisi ya failing, ndiyo hiyo uliyompakia mafuta hapo kwenye bold and red..!

Jamani kufeli sio kufa!.... kufeli ni mwendelezo wa maisha!

Life must go on no matter the condition of the jungle!
 
Kama huna uhakika wa unachokisema ni bora ukae kimya tuu. Mna mawazo potofu sana na kama mnaendelea hivyo itakuwa shida sana.
 
research nyingi unazoziona humu duniani zime-base kwenye generalization.....unaposema tusigeneralize wakati tuna data na evidence za kutosha sijui unajaribu kutuambia nini..... Hizo za kufaulu na kuacha kwenda form five badala yake mtu anaenda chuoni ipo lakini ni mara chache sana....

sasa khantwe unajitahid kujieleza lakini hizo research unazoongelea sample size na scope of study zipoje? Sio kila research unageneralize.kuhusu kufaulu na kufeli kila mtu aweke namba ya shule na namba yake pamoja na mwaka wakumaliza
 
digrii wamezipata wakiwa makazini....ila form four walifeli...

mm nafundisha primary ila sijawahi kufeli hata siku moja.pia kufundisha primary wakat mwingine kuna family back ground au umaskin
 
Digrii wamezipata wakiwa makazini....ila form four walifeli...

Unajidanya ndugu mi nimefau form 4 nikaenda ualimu nikafanya form 6 nikiwa kazin pia nilifaulu nikenda dip nikafaulu nasasa nipo chuo
 
Back
Top Bottom