Kufeli kitu gani kama ni kufeli wengine leo tusingekuwa na masters!!
Nani kawaambia hayo? wengine tulifaulu vzr fm 4 na tulikuwa na sifa za kujiunga "A" level ila kwa hiari zetu tukaenda teaching as a right way of achieving triumphs,sasa wale wanaobwatuka2 eti wlm wa pr. walifeli mthn wa fm 4 wafunge bakuli lao.
Nani kawaambia hayo? wengine tulifaulu vzr fm 4 na tulikuwa na sifa za kujiunga "A" level ila kwa hiari zetu tukaenda teaching as a right way of achieving triumphs,sasa wale wanaobwatuka2 eti wlm wa pr. walifeli mthn wa fm 4 wafunge bakuli lao.
Mwalimu wa Tanzania hii hii au wapi?acha fix hapa...walimu wa primary ni failures..
Nilimkuta mmoja anawafundisha watoto darasani eti -3 kutoa -5 jibu ni -8, pumbavu kabisa.
Sibishi kwa asilimia zote wakuu,ni kweli baadhi wapo wanayo hayo mnayoyasema but ninachopinga ni ku generalize,yapendeza kubainisha data,kashfa hizi zawachafua hata wasio stahili
mimi sijafeli ila ni mwalimu wa primary
Kama hukufeli matokeo ulifeki maamuzi. Kwann hukujiendeleza uwe mwl wa sekondari au chuo?
Wangapi Wanamadegree lkn wapo mtaani mpaka Leo wanasubiri majibu walikoapply.... Achana nao wasikupe stress ndugu wamesoma ndio na walifaulu wana GPA nzur lakini wanazunguka na bahasha za kaki na sori ya kiatu imeishaje na ata akisimama hapo wewe unaonekana unathamani.... Ata alieikomboa nchi alikua mwalimu.... Sio kama mlifeli hapana!! Ila hamjafikia kiwango wanachotaka... Walofeli ni wale walozungusha na wale wenye mapoint ya 30 na...
sio kila afundishae primary anacheti.wengine wa stashahada na shahada
research nyingi unazoziona humu duniani zime-base kwenye generalization.....unaposema tusigeneralize wakati tuna data na evidence za kutosha sijui unajaribu kutuambia nini..... Hizo za kufaulu na kuacha kwenda form five badala yake mtu anaenda chuoni ipo lakini ni mara chache sana....
digrii wamezipata wakiwa makazini....ila form four walifeli...
Digrii wamezipata wakiwa makazini....ila form four walifeli...