Nakerwa na Hotuba za Viongozi wa Serikali kwa kutumia muda mwingi kulitajataja jina la Samia wakati kuna vitu vya msingi vya kusemea

Ni sawaa lkn kipindi hiki imekuwa to much mkuuu

Na inatakiwa kukemewaaa

Watu hawangaiki na shida za wananchi ,wanasifiaa hadi wanagaragara chini

Kwako hiyo ni sawaa mkuu
Huwezi kuwapangia, Jambo la muhimu ni kufanya uamuzi sahihi kipindi cha uchaguzi.
 
Mbwa ukishamjua jina, hakupi tabu abadan.

Tatizo lipo kwa anaetajwa jina kila mara kuliko watajaji.
Suala la mfumo. Hata Nyerere jina lake limetajwa sana. Kikao chochote kabla ya kuanza na kuisha utasikia "zidumu fikra za mwenyekiti......" Kidogo Mkapa aliipunguza kasi hii, Kikwete akatembea nayo kasi ile ile alioiacha mkapa, sasa Magufuri ndio kaiongeza kivyake. Huyu anaesema wajibuni, kaendea na kasi ya Magufuri hasa ukizingatia aeamu ni ya 5 japo tunadanganyika awamu hii ni ya 6 sijui kutoka katiba ipi.
 
Kuna mdau mmoja alisema
"KILA MTU SASA HIVI ANASIFU KUHUSU SAMIA, IWE MIRADI BASI SAMIA NDO AMEFANYA, IWE NI UJENZI WA BARABARA NI SAMIA. JE WAKIJA KUONGEA NA WANANCHI WATAOMBA KURA KWA MSINGI UPI!?"
VIONGOZI WA TANZANIA HAWANA TOFAUTI NA WALKERS KWENYE THE WALKING DEAD.
 
M
 
Cheki LOFA huyu! afiti vp wakati uwezo hana?
 
Zuchu ametamka maneno kwamba mama samia mitano tena, raia wamemrushia makopo ya maji jukwaani ad kaondolewa na security
 
Huu ni upumbavu tena unakera sana watu wazima wamekuwa kama mazombi. Yani kusifia tu halafu na msifiwa nae hashituki angekemea huu ujinga.
 
Mkuu umeuharibu uzi ulivyoanza na habari za Yesu
 
Mbona huoni shida wahubiri wakimtaja Yesu na mtume Mohamed kila wakati!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…