KERO Nakerwa na mikopo ya mitandaoni hasa inayotolewa na Kampuni ya EasyBuy

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Ni nani mmliki wa kampuni ya ukopeshaji mtandaoni ya EasyBuy?

Inadhalilisha watanzania. Tunaomba ifutwe na mmliki akamatwe.

Ukikopeshwa Tsh. 98,000 riba ni Tsh 42,000.


BAAADHI YA MICHANGO KWENYE MJADALA HUU


 
Ni nani mmliki wa kampuni ya ukopeshaji mtandaini ya easy buy???

Inadhalilisha watanzania. Tunaomba ifutwe na mmliki akamatwe.

Mkopo unaandikwa unakopa 118,000, Unakopeshwa Tsh 98,000 riba ni Tsh 46,000.
Ndio vizuri hiyo maana binadamu washenzi sana wakukopeshwa na ndugu na marafiki wanaingua mitini na kutupa majibu ya ajabu ajabu. Utasikia ulinikopeaha kwa mapenzi yako nitakulipa kwa mapenzi yangu
 
circumstances zinawalazimisha kukopa lakini matokeo yake baada ya kuchukua mkopo ni mabaya kweli kweli.
Serikali ikiwaondoa kausha damu ni sawa na kumpa panadol mgonjwa wa Malaria. Inatikiwa ifanyie kazi circumstances zinazowalazimisha kukopa huko ndio itakuwa imetibu tatizo.
 
Makampuni haya yanadhalilisha Watanzania na halikubaliki.
Tunapendekeza mambo yafuatayo:

1. Wamiliki wa kampuni ya Easybuy waliochangia unavurugaji huu wahusishwe na uchunguzi wa kina na watendwe hatua stahiki za kisheria.

2. Kampuni hii iondolewe kwenye soko la mikopo mtandaoni kwani kudharau wateja wao kwa namna kama hii haiwezi kubaliwa.

3. Wadaiwa wanaodaiwa kufikia Tsh 46,000 riba kwa mkopo wa Tsh 98,000 wapewe fidia stahiki na kampuni hii.

4. Taasisi za usimamizi wa masoko na ufanyaji biashara kama BRELA na TBA zichukue hatua za kufuatilia na kuhakikisha uadilifu katika shughuli za mikopo mtandaoni.

Tunapendekeza mambo haya yafanyiwe kazi ili kuepuka kudhalilisha zaidi wananchi.
 
Reactions: apk
Ni nani mmliki wa kampuni ya ukopeshaji mtandaini ya easy buy???

Inadhalilisha watanzania. Tunaomba ifutwe na mmliki akamatwe.

Mkopo unaandikwa unakopa 118,000, Unakopeshwa Tsh 98,000 riba ni Tsh 46,000.
Kwani sheria za uanzishwaji wa hizi online microfinancing zinatungwa na nani?Au zimeshindwa toka mbinguni.huu ni unafiki uliopitiliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…