Mzee Nyerere
JF-Expert Member
- Jun 24, 2024
- 219
- 279
Waziri,
Narudia tena,Mikopo ya mitandaoni inadhalilisha sana
Narudia tena,Mikopo ya mitandaoni inadhalilisha sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa 'shit ho*e' countries' katiba ni sehemu tu ya matatizo ila tuna changamoto nyingi sana ikiwemo kuwa na viongozi vibaraka wa mataifa yaliyoendelea, rushwa, ukosefu wa elimu ya utambuzi, maradhi na umasikini uliotopea.Katiba mbovu
Muongozo wa fedha wa nchi unasema riba isizidi kiasi gani?3. Wadaiwa wanaodaiwa kufikia Tsh 46,000 riba kwa mkopo wa Tsh 98,000 wapewe fidia stahiki na kampuni hii.
Hakuna anayelazimishwa kukopa.Rais,
Narudia tena,Mikopo ya mitandaoni inadhalilisha sana
DuhNi nani mmliki wa kampuni ya ukopeshaji mtandaini ya easy buy???
Inadhalilisha watanzania. Tunaomba ifutwe na mmliki akamatwe.
Mkopo unaandikwa unakopa 118,000, Unakopeshwa Tsh 98,000 riba ni Tsh 46,000.
Hata hivyo hakuna anayelazimisha wewe ku-commentHakuna anayelazimishwa kukopa.
Hatari sn kama nchikwa 'shit ho*e' countries' katiba ni sehemu tu ya matatizo ila tuna changamoto nyingi sana ikiwemo kuwa na viongozi vibaraka wa mataifa yaliyoendelea, rushwa, ukosefu wa elimu ya utambuzi, maradhi na umasikini uliotopea.
Haukupigwa, ulichukua mkopo kwa hiyari yako bila kupata taarifa zote za huo mkopo.niliwahi kukopa, online app zaidi ya 5 mwanzo nikarudisha fresh kwa wakati nakopa huku nalipa huku mpaka wakanipandishia dau 200k, nilipokopa hikokiwango ndipo nikagundua kuwa nilikuwa napigwa riba kubwa bado service charge yaani nilipiga mahesabu nikaona hawawapuuzi ntawatajirisha,
NB. Sijisifu kuwadhulumu ila nilipofanya mahesabu nikaona hawa jamaa katika marejesho wamenipiga mno hivyo sikufeel guilty kuwapiga namimi marambili yake tena bila kuzalilishwa kwa contact list.
Ukipata mwanya wa kumuumiza muumizaji kama hawa kausha damu waumize kweli usiwaonee huruma.
Usi-panicHata hivyo hakuna anayelazimisha wewe ku-comment
Shida yako ni mikopo kausha damu au ulinzi wa data?Kampuni ya Easy Buy inayokopesha mikopo mtandaoni haina njia salama za kuhifadhi data binafsi na taarifa za kifedha za wateja, basi ni muhimu sana kuepuka kutoa data yako kwao.
Ulinzi wa data ya mteja ni kipaumbele cha msingi kwa kampuni yoyote ya mikopo mtandaoni.
Ukibaini kampuni haina mifumo salama, basi usishawishike kutoa taarifa zako za kibinafsi na kifedha. Hii inaweza kuwa hatari sana.
Badala yake, ninapendekeza utafute kampuni nyingine ya mikopo mtandaoni ambayo imeonyesha kuwa ina taratibu bora za ulinzi wa data.
Kagua sera yao ya faragha, usalama wa tovuti, na historia ya ulinzi wa data. Hii itakusaidia kuchagua kampuni ambayo itakuhifadhi salama.
Usalama wa data ya wateja ni muhimu sana katika ulimwengu wa mtandao.
Usikubali kampuni yoyote ambayo haionyeshi kujitolea kwake kuhakikisha data yako iko salama. Uangalifu na maamuzi ya muda mrefu ndio siri ya kuchagua mtoaji mikopo mtandaoni anayefaa.
Mikopo ya mtandaoni ni ujambazi kabisa.Shida yako ni mikopo kausha damu au ulinzi wa data?
Wewe ni kama una ajenda binafsi na Easy Buy.
Ujambazi ni mtu kuchukua pesa zako kwa mabavu bila ridhaa yako, huo sio utaratibu wa mikopo ya mtandanoni.Mikopo ya mtandaoni ni ujambazi kabisa,
tena kwa kwa nchi za 'third world countries' athari zake ni kubwa sana chukua mfano wa malawi, zambia, zimbabwe na hata hawa nyang'au majirani zetu.Hatari sn kama nchi
wewe utakua una visa binafsi na easybuyKuhusu hatua zinazotakiwa kuchukuliwa na serikali kuhakikisha kampuni ya Easybuy haiendelei kudhalilisha wateja wake, nashauri yafuatayo:
1. Taasisi za serikali zinazohusika kama Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Mamlaka ya Udhibiti wa Masoko ya Mitaji na Bima (CMSA), na Mamlaka ya Ushindani (FCC) wachukue hatua kali dhidi ya kampuni hii.
2. Benki Kuu ya Tanzania (BOT) igute vibali vya kampuni ya Easybuy kuendesha shughuli za mikopo mtandaoni nchini Tanzania. Aidha, BOT iagize kampuni hii kurudisha deni lote lililochukuliwa kwa njia za udanganyifu.
3. Mamlaka ya Udhibiti wa Masoko ya Mitaji na Bima (CMSA) ifanye ukaguzi wa kina katika shughuli za kampuni hii na kugundua masuala mengi ya udanganyifu. CMSA imetoa adhabu kali, ikiwa ni pamoja na faini kubwa na kufuta vibali vya kampuni hiyo.
4. Mamlaka ya Ushindani (FCC) inaeendelee na uchunguzi wa kina kuhusu taratibu zisizo za haki zinazotumika na kampuni ya Easybuy dhidi ya wateja wake. Hatua stahiki zitachukuliwa dhidi ya wanaohusika.
5. Serikali pia ianzishe mchakato wa kutunga sheria na kanuni mpya za kusimamia shughuli za mikopo mtandaoni nchini Tanzania ili kudhibiti vitendo kama vinavyofanywa na kampuni ya Easybuy.
Kwa ujumla, serikali ichukue hatua stahiki za kisheria dhidi ya kampuni hii na kitakachotokea kinatarajiwa kulinda maslahi ya wateja Tanzania.
Hujielewi unataka nn..Mikopo ya mtandaoni ni ujambazi kabisa,