KERO Nakerwa na mikopo ya mitandaoni hasa inayotolewa na Kampuni ya EasyBuy

KERO Nakerwa na mikopo ya mitandaoni hasa inayotolewa na Kampuni ya EasyBuy

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Ni nani mmliki wa kampuni ya ukopeshaji mtandaoni ya EasyBuy?

Inadhalilisha watanzania. Tunaomba ifutwe na mmliki akamatwe.

Ukikopeshwa Tsh. 98,000 riba ni Tsh 42,000.

BAAADHI YA MICHANGO KWENYE MJADALA HUU
Kampun inayochangia Pato la taifa more than 5k kila mwenz ifutwe...??
Bora uumie wewe mjinga usiyejitambua na huna msaada kwa taifa zaid ya kulalamika na kulialia mitandaoni!!
 
Mbona mikopo ya kwenye mitandao ya simu ni nafuu ukilinganisha na hizo kausha damu. Tuseme tu kweli sisi waswahili sio waaminifu kwenye kulipa madeni, unakuta mtu kakopa kwenye simu ambayo riba haizidi 12% kisha halipi hadi anakua blacklisted na kuanza kukimbilia kausha damu ambayo anataka asilipe tena.

Strategy nyingi za microfinance ni kuweka riba kubwa ili kufidia hasara ya wadeni matapeli.
 
Ni nani mmliki wa kampuni ya ukopeshaji mtandaoni ya EasyBuy?

Inadhalilisha watanzania. Tunaomba ifutwe na mmliki akamatwe.

Ukikopeshwa Tsh. 98,000 riba ni Tsh 42,000.

BAAADHI YA MICHANGO KWENYE MJADALA HUU
 
Mbona katika hiyo mikopo wanayotoa wanaweka na gharama za kukatia huo mkopo insurance ?? na bado wanakudai ulipe ?? sasa hiyo gharama ya insurance ya nini kuiweka na hapo hapo ukaendelea kudai hamuoni kuwa huo ni upigaji wa wazi wa kuwaibia wanaochukua mkopo ???
 
Kwani sheria za uanzishwaji wa hizi online microfinancing zinatungwa na nani?Au zimeshindwa toka mbinguni.huu ni unafiki uliopitiliza.
Nyingi hazijasajiliwa..ila ajabu zina operate tena kwa kiburi kikubwa
 
Mbona katika hiyo mikopo wanayotoa wanaweka na gharama za kukatia huo mkopo insurance ?? na bado wanakudai ulipe ?? sasa hiyo gharama ya insurance ya nini kuiweka na hapo hapo ukaendelea kudai hamuoni kuwa huo ni upigaji wa wazi wa kuwaibia wanaochukua mkopo ???
Unajua kazi ya insurance au uneongea tu?
 
Ni nani mmliki wa kampuni ya ukopeshaji mtandaoni ya EasyBuy?

Inadhalilisha watanzania. Tunaomba ifutwe na mmliki akamatwe.

Ukikopeshwa Tsh. 98,000 riba ni Tsh 42,000.

BAAADHI YA MICHANGO KWENYE MJADALA HUU
Watanzania tushakua kama matoto ya mwisho kwa serikali 😂 sasa serikali inashida gani hapo,, hio mikopo kuna watu wananufaika wanakopa na wanarejesha tena kwa kuwatafuta wao wenyewe wewe kushindwa kwako kulipa kwa tamaa za awali za kukopa usigeuze utapeli wako lawama kwa watu,, mnalaumu microfinance, vp kuhusu insurance 😂 wanaochukua hela pengine kwa lazima? Kama darasani ulikuaga ni mteja wa mapenzi lazima kichwa kiwe kizito kufafanua mambo
 
Back
Top Bottom