Nakerwa na tabia ya jirani yangu kuanika chupi hadharani

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Kuna mdada nyumba jirani huwa anafua nguo za ndani nyingi na kuzianika kujaza kamba ikiwa ni njiani tunapopita. Hii tabia sipendezwi nayo, inatutia tu akshi asubuhii.

Kwani hizo chupi huwa anazichafua mara moja au akioga hafui akabadilisha ndio azirundike afue machupi zaidi ya 40 siku moja

Nyie wanawake wa mjini mnatutia vishawishi jamani. Kwanini akifua japo asianike faragha kama bafuni?
Ni hatari wadada wa Tabata. Nitahama Tabata mimi.
 
Chupi ni vazi, unataka ianikwe wapi? Ni muhimu sana chupi na nguo zote za ndani kuanikwa juani zikauke kwelikweli ili kuua bacteria na vimelea wengine.

Ushauri wangu: wakianika chupi zao hadharani na wewe weka boksa yako juu ya hizo chupi, utakuja kunishukuru.
 
mambo ya chumbani anaweka hadharani sio?
 
Kijana Oa upwiru utakuua
 

Watoto wa single mother mnajulikana kwa tabia zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…