Nakerwa na tabia ya jirani yangu kuanika chupi hadharani

Kuna mdada nyumba jirani huwa anafua nguo za ndani nyingi na kuzianika kujaza kamba ikiwa ni njiani tunapopita. Hii tabia sipendezwi nayo, inatutia tu akshi asubuhii.

Kwani hizo chupi huwa anazichafua mara moja au akioga hafui akabadilisha ndio azirundike afue machupi zaidi ya 40 siku moja

Nyie wanawake wa mjini mnatutia vishawishi jamani. Kwanini akifua japo asianike faragha kama bafuni?
Ni hatari wadada wa Tabata. Nitahama Tabata mimi.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hama tabata hama
 
Chupi narundika kama za wiki au na zaidi,weekend nailoweka naifua na kuianika nje japo kwangu kuna geti.
Siwezi anika chupi ndani
 
Kuna mdada nyumba jirani huwa anafua nguo za ndani nyingi na kuzianika kujaza kamba ikiwa ni njiani tunapopita. Hii tabia sipendezwi nayo, inatutia tu akshi asubuhii.

Kwani hizo chupi huwa anazichafua mara moja au akioga hafui akabadilisha ndio azirundike afue machupi zaidi ya 40 siku moja

Nyie wanawake wa mjini mnatutia vishawishi jamani. Kwanini akifua japo asianike faragha kama bafuni?
Ni hatari wadada wa Tabata. Nitahama Tabata mimi.
Sijui hapa nakomment nini...anyway wewe binafsi unahitaji ushauri au unaamini wote tunamfahamu tuende kumpa hizi taarifa?
 
Back
Top Bottom