Nakerwa na tabia ya jirani yangu kuanika chupi hadharani

we hama tu
 
Anatangaza biashara 🤣
 
Tafuta demu ngunga itakuua.
 
Sahizi chupi imekuwa kama vazi la nje watu hawana heshima tena huku mijini zamani akina mama walikuwa wanaanika kwa nje wanabana na kanga, kama hupendezwi hama tu hakuna namna kama umejenga huo ni msala mdogo fata mishe zako tu
 
Atakuwa ni malaya tu huyo. Malaya huwa hawaoni aibu kuanika chupi zao hadharani
 
Ka
Inuse ataacha hiyo tabia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…