Nakerwa na Wanawake wanaovaa kope za bandia

Nakerwa na Wanawake wanaovaa kope za bandia

pilau

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
1,595
Reaction score
451
Binafsi nakerwa Sana nikiangalia wanawake hasa Azam TV kwenye kipindi Cha sinema zetu.

Wanawake wengi wameamua kuweka KOPE za bandia katika macho yao.

Nawakumbusha tu HAMPENDEZI NA NI ATHARI KWA MACHO YENU SIKU SIO NYINGI

Kwani Nani aliyewambia kwamba m apendeza?
 
Back
Top Bottom