Pre GE2025 Nakipongeza kikosi Maalum cha CHADEMA kwa kufanikiwa kuteka mijadala yote ya Nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii maana yake ni kwamba, Kila jambo litakaloanzishwa na Chadema ndilo litakalojadiliwa, Chama kimekuwa na nguvu ya Ushawishi ya kutisha kwa sasa.

Huu ndio muda wa kusukuma mbele Ajenda za Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi, Mnasikilizwa na kila Mtanzania, Kikwete alisema ili CCM ianguke labda yatokee Maajabu, sasa haya ndio Maajabu yenyewe, Kwa muda mfupi kabisa Game imechange vibaya sana! Mada zote za Nchi ni Chadema tu!

Naambiwa kikosi chenu Kipana kina Watu watano tu, yaani watu watano wamekaa chini wakaua kabisa ccm mioyoni mwa wananchi na kuipandikiza Chadema kirahisi mno! Nilifikiria kuwataja Watu hao Majasusi wa Mambo ya kisiasa walioua ccm kwa siku 30 tu, Lakini naona ngoja niminye kwanza kwa sababu za Kiusalama, Ila kiukweli CHADEMA Mungu anawaona! Wallah tena!! Haiwezekani Aiseeee!

Mungu Ibariki Chadema
 
Naambiwa kikosi chenu Kipana nimeambiwa kina Watu watano tu, yaani watu watano wamekaa chini wakaua kabisa ccm mioyoni mwa wananchi na kuipandikiza Chadema kirahisi mno! Nilifikiria kuwataja Watu hao Majasusi wa Mambo ya kisiasa walioua ccm kwa siku 30 tu, Lakini naona ngoja niminye kwanza kwa sababu za Kiusalama, Ila kiukweli CHADEMA Mungu anawaona! Wallah tena!! Haiwezekani Aiseeee!

Mungu Ibariki Chadema
Masikini Erythrocyte
 
Majasusi ama Maharamia?

Vibaraka hawa mabeberu washutumiwe na kukemewa kwa nguvu zote.
 
Hii maana yake ni kwamba, Kila jambo litakaloanzishwa na Chadema ndilo litakalojadiliwa, Chama kimekuwa na nguvu ya Ushawishi ya kutisha kwa sasa.

Huu ndio muda wa kusukuma mbele Ajenda za Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi, Mnasikilizwa na kila Mtanzania, Kikwete alisema ili CCM ianguke labda yatokee Maajabu, sasa haya ndio Maajabu yenyewe, Kwa muda mfupi kabisa Game imechange vibaya sana! Mada zote za Nchi ni Chadema tu!

Naambiwa kikosi chenu Kipana kina Watu watano tu, yaani watu watano wamekaa chini wakaua kabisa ccm mioyoni mwa wananchi na kuipandikiza Chadema kirahisi mno! Nilifikiria kuwataja Watu hao Majasusi wa Mambo ya kisiasa walioua ccm kwa siku 30 tu, Lakini naona ngoja niminye kwanza kwa sababu za Kiusalama, Ila kiukweli CHADEMA Mungu anawaona! Wallah tena!! Haiwezekani Aiseeee!

Mungu Ibariki Chadema
kikosi cha mafunzo ya mihemko na waporomosha matusi sio,right? :pedroP:
 
Hivi Makonda ametimiza siku 30 tangu atoke kwenye UENEZI?
 
Kikosi cha majasusi wa kugawa rushwa kwenye chaguzi za ndani za CHADEMA.
 
SGN_05_04_2024_1714832545958.png
 
Back
Top Bottom