Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #101
Ujinga wa kutaka haki ?Chadema mna ujinga ambao hautoisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujinga wa kutaka haki ?Chadema mna ujinga ambao hautoisha
Utakuwa umelogwaAnguko la chadema ni wazi kabisa
Uchaguzi ndani ya Chama ni wana demokrasia vs dikteta
Fedha chafu( mbowe) vs tundu LISU
Covid 19 ni cancer mbowe anavuta mbunga kila mwezi kupitia covid 19
Matatizo yapo chungu nzima na wote tunayajua na njia za kuyatatua zinajulikana......Ondoeni posho, ruzuku na mishahara ya kujipendelea tuone wangapi mtasimama kuwapambania wasiokuwa nacho.Weka ushahidi wa Uchumia tumbo wao
Why unawaza chuki kama huna chuki….??ni mawazo yangu kuhusu siasa na vile naona karata zinachezwa na wenyewe wapinzani na wanaopingwa nakosa imani!Unakosea na inaonekana bado hujajipa homework.
Tanzania kuna wapinzani wenye credibility ya maana. Labda una chuki zako tu.
Wapo wachumia tumbo na Dr Hayati Magufuli alitusaidia sana kuwajua na kuwachuja.Bado wale Pure wapo.