Nakiri kwanzia leo hakuna HIT-SONG zaidi ya hii

Nakiri kwanzia leo hakuna HIT-SONG zaidi ya hii

donga

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2017
Posts
2,555
Reaction score
5,202
Aisee wazee wa zamani waliufaidi muziki...huu wimbo ndio bora kwangu toka nimekuja duniani kwa sababu zifuatazo
1. Mashairi yameiva kuna ujumbe murua
2.Una vibe balaa
3.beat lipo kwenye high frequency
4.sauti ya mwimbaji imefana
5.unachezwa popote club, harusini,hata kwenye sherehe

๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Gen-Z wenzangu ingekuwa inapigwa club hii hata wewe ungekumbuka kununua kiwanja KARIAKOO ๐Ÿ˜๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„ Tusiwalaumu wazee wetu
 

Attachments

Back
Top Bottom