Nakiri Ole Sabaya kunishinda ujanja na kuweza kunidanganya. Nilimuona mzalendo kweli kweli

Siye tukisema kweli tunaitwa Wachochezi, tumekosa uzalendo, tunatumika na BEBERUS blah blah blah kumbe tuna uwezo wa kumtambua dhalimu kwa kumtazama usoni tu na matendo yake machache kisha tukafanya accurate conclusion.
 
Siyo Sabaya tu, hata mwendazake naye alikushinda ujanja na akili, tena huyo ndo alikushinda zaidi.
 
Sabaya hajaweza kunidanganya mimi peke yangu am sure ni wengi tuliodanganyika na lawama zetu zote tunazipeleka kwa Wabunge tuliowachagua kushiriki hii Dhambi
 
Ogopa sana wanaotanguliza uzalendo na Mungu mbele...Ogopa sana watu wa Camera maACTION na mapicha picha ya kuonyesha "UZARENDO"......Bashite kutwa alikuwa mbele ya camera mara kujenga hospital ,mara kutetea wajane mara kutibu TEZI dume kumbe alikuwa anawahadaa wanyonge.
 
Tatizo mliamua kuazima bongo zenu kwa Mwendazake mkawa mnaamini propaganda zake kama mazombie.
 
Sabaya ndio kipi hasa cha kutazama maovu ya shetani Magufuli
 
"Majizi makubwa yako ndani ya Chama changu CCM" Alisikika Mwendazake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…