Nakiri Ole Sabaya kunishinda ujanja na kuweza kunidanganya. Nilimuona mzalendo kweli kweli


Siasa za matukio zinakuwaga hivyo.
 
Hakuna uzalendo usiojali haki!!
 
Kwa Nn Tumuhukumu LoS Kwamba Ni Kweli Kayafanya Haya Hata Kabla Hajahukumiwa? Tuna-Ushaidi Wa Kutosha Kwamba Ni Kweli Sabaya Kayafanya? Au Tunamhukumu Kwa Ile Charge sheet Ya Jamhuri?
 
DPP Wa Sasa Alikuwa Ofisi ya DPP alieondoka Akiwa Kama Mwendesha Mashitaka Mwandamizi Mkuu Wa Serikali, Akiwa Chini Ya DPP Alieteuliwa Kama Jaji, unadhani Kuna Cha Kuhofia Kutoka Kwake? Mtu ambae Ndio Walikuwa wanaandaa charges Zote za Jamhuri Wanampelekea Biswalo anasahini Tu.
 
Kwa Nn Tumuhukumu LoS Kwamba Ni Kweli Kayafanya Haya Hata Kabla Hajahukumiwa? Tuna-Ushaidi Wa Kutosha Kwamba Ni Kweli Sabaya Kayafanya? Au Tunamhukumu Kwa Ile Charge sheet Ya Jamhuri?
Ushahidi gani kwako utakuwa ni "ushahidi wa kutosha"?
 
Ushahidi gani kwako utakuwa ni "ushahidi wa kutosha"?
Mkuu Kupeleka Kesi Mahakamani Ni Kitu Kimoja na Kufanya Prosecution Ni Kitu Kingine. Kama Una Kumbukumbu Kuna Kesi Yoyote Ambayo Jamhuri ilipeleka Mahakamani kwa Nature ya Money laundering Serikali ikashinda Zaidi Ya Kuja na Plea bargaining??
 
Mkuu Kupeleka Kesi Mahakamani Ni Kitu Kimoja na Kufanya Prosecution Ni Kitu Kingine. Kama Una Kumbukumbu Kuna Kesi Yoyote Ambayo Jamhuri ilipeleka Mahakamani kwa Nature ya Money laundering Serikali ikashinda Zaidi Ya Kuja na Plea bargaining??
Nimekuuliza swali hujalijibu.

Ni kwamba hujalielewa swali au umelipuuza tu?

Ushahidi gani kwako utakuwa ni "ushahidi wa kutosha"?
 
Nimekuuliza swali hujalijibu.

Ni kwamba hujalielewa swali au umelipuuza tu?

Ushahidi gani kwako utakuwa ni "ushahidi wa kutosha"?
Ni Jamhuri Kwenda Na Ushahidi Mahakamani usio na Shaka Kwamba Ni Kweli LoS alimpora Mroso 90m, waje na Ushahidi Wa Kutosha Kwamba Kweli LoS Alikuwa anaendesha Genge la Uhalifu, waje mashaidi watakaodhitisha kwa Kuona na sio Kwa Kusikia Kwamba Sabaya alitakatisha Fedha.
 
Nakuuliza ushahidi gani utakuwa wa kutosha kwako, unajibu ni jamhuri kwenda mahakamani na ushahidi wa kutosha.

Unazunguka palepale tu.

"Wa kutosha" "usio na shaka" ndiyo swali langu.

Ushahidi gani ninwa kutosha nanusio na shaka?

Nikikuuliza hivyo usinijibu kwa kusema "wa kutosha" na "usio na shaka".

Hilo ndilo swali langu.

Ushahidi wa kutosha na usio na shaka kwako ni upi?

Wakija hao mashahidi wakasema wameona na hawajasikia huwezi kupinga kwamba wamepangwa na ushahidi hautoshi na una shaka?

Kwani mpaka sasa hakuna watu wanqotoa ushahidi kwamba waliona na hawajasikia tu?
 
Ole huyu Ole,Mpaka sasa najiuliza aliwezaaaje kunilaghai namna hii
 
Mkuu Kiranga USHAHIDI ni namna ambayo inatumika kuthibitisha au kukanusha ukweli wa jambo ambalo linachunguzwa, Kif.cha 3(1) Sheria ya Ushahidi Na. 6 1967.

Sasa Kila anayedai jambo fulani kwa Mtu Fulani ana dhima ya kuthibitisha kwa ushahidi uliopo. Katika jitihada ya kuthibitisha au kukanusha jambo kuna hatari nyingi ambazo huweza kupotosha kweli na haki. Ili kuepuka au kupunguza tu hatari kama hizo kuna kanuni ambazo zinatakiwa zifuatwe kabla ya kuukubali au kuukataa ushahidi fulani.

Ushahidi unaokubalika ni ule tu unaothibitisha au kukanusha jambo linalodaiwa kwa mujibu wa sheria, kif. Cha 7 (I)(h)(j) Sheria ya Ushahidi.

Mtu ana fahamu tano kuu; kuona, kusikia, kugusa, kuonja na kunusa. Aina zote hizo huweza hutumika katika kuthibisha au kukanusha kweli ya jambo linalobishaniwa kif. Cha.3(1) na 62(I)(h)(j) cha Sheria ya Ushaihdi, i.h.j).

Nakupa mfano: Kiranga ameshitakiwa kwa kuchoma nyumba kwa kukusudia. Josh J anaweza kuwa alimwona Kiranga akichoma nyumba hiyo. Au anaweza kuwa alisikia harufu ya mafuta ya taa kabla ya kulipuka moto uliounguza nyumba hiyo; au anaweza kuwa alimsikia Kiranga akipanga kuichoma nyumba hiyo. Aina zote hizo za fahamu zina uzito katika kuthibitisha kosa hilo la uchomaji nyumba.

Hali ya akili ambayo shahidi anaielewa pia huweza kuwa ushahidi. Kwa kawaida shahidi anaweza kuthibitisha au kukanusha ukweli mintaarafu ya hali ya akili yake mwenyewe lakini sio ya mtu mwingine.

Hali ya akili ya mtu inaweza kuthibitishwa kufuatana na mwenendo au kauli yake binafsi. Hivyo basi shahidi anaweza kudai hana akili timamu kwa kauli yake mwenyewe. Lakini hawezi kusema kwa uhakika kuwa mtu fulani hana akili timamu isipokuwa kama anatoa maoni ya kitaalam, mathalan daktari, au anafahamu mwenendo wa mtu huyo ambao unathibitisha utovu wa akili timamu.

Kama sijaeleweka Utanisamehe Mkuu Wangu
 
Kesi inaendelea.

Ushahidi huo unaousema ukipatikana na kuthibitishwa na vyombo vya sheria utakubali huyu mshtakiwa ni maaluni kama alivyoshtakiwa?

Au utakuja na viunzi vingine kuuhoji huo ushahidi?

Maana unaweza kuwekewa ushahidi wa DNA, fingerprint na video ukasema DNA na fingerprint zinaweza kupandikizwa na video inawezekana ni mtu anayefanana naye tu.

Ukiamua kuubishia ushahidi hakuna kitu kitakachokuzuia.

Hivi hao watu wote wanaolia ushenzi wa Sabaya ni waongo?

Hivi viongozi wote wa CCM mpaka Rais wamekubali mwenzao azushiwe kesi ya uongo inayokichafua sana chama na serikali yake?

Unafahamu ni vigumu kiasi gani kwa mkuu wa wilaya kufunguliwa mashtaka hivi na vyombo vya sheria?

Do you know how embarassing this is to the government and that if there was no solid evidence this case would not get where it is today?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…