Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,618
- 4,605
Sijawahi kupiga ramli wala si mtabiri ila kwa yanayoendelea nchini na kwa manung'uniko ya wananchi kila mahala ,si ajabu hiki chama kiko mbioni kuvifuata vyama vyenzake vya ukombozi huko mahala pema.
Watanzania wa sasa wamebadirika mno, nadhani zamani kidogo ilikuwa tofauti ila sasa kila mmoja anatambua nini anataka kuona kutoka kwa watawala.
Hata kama hakuna chama kinacho promise future yetu ila kwenye mijadara so many people are calling to take back control of their country, hii imenishtua kwani issue si chama kipi kituongoze na mbaya zaidi bunge linaonekana kusimama na wezi nobody to turn to. Kwa mantiki hiyo hii inaweza kuwa mwanzo wa safari ya CCM kuvifuata vile vyama vyenzake maana kama ni magamba yashavuliwa bada sasa kijichune nyama.