Nakitabiria kifo Chama cha Mapinduzi

Nakitabiria kifo Chama cha Mapinduzi

Sijawahi kupiga ramli wala si mtabiri ila kwa yanayoendelea nchini na kwa manung'uniko ya wananchi kila mahala ,si ajabu hiki chama kiko mbioni kuvifuata vyama vyenzake vya ukombozi huko mahala pema.

Watanzania wa sasa wamebadirika mno, nadhani zamani kidogo ilikuwa tofauti ila sasa kila mmoja anatambua nini anataka kuona kutoka kwa watawala.

Hata kama hakuna chama kinacho promise future yetu ila kwenye mijadara so many people are calling to take back control of their country ,hii imenishtua kwani issue si chama kipi kituongoze na mbaya zaidi bunge linaonekana kusimama na wezi ,no body to turn to . Kwa mantiki hiyo hii inaweza kuwa mwanzo wa safari ya CCM kuvifuata vile vyama vyenzake maana kama ni magamba yashavuliwa bada sasa kijichune nyama.
Vyama DHALIMU haviwezi kufa, CCM haina tofauti na ANC
 
Unaota ndoto za mchana! CCM kufa kwa sisi watanzania wa leo! Haiwezekani
 
Sijawahi kupiga ramli wala si mtabiri ila kwa yanayoendelea nchini na kwa manung'uniko ya wananchi kila mahala ,si ajabu hiki chama kiko mbioni kuvifuata vyama vyenzake vya ukombozi huko mahala pema.

Watanzania wa sasa wamebadirika mno, nadhani zamani kidogo ilikuwa tofauti ila sasa kila mmoja anatambua nini anataka kuona kutoka kwa watawala.

Hata kama hakuna chama kinacho promise future yetu ila kwenye mijadara so many people are calling to take back control of their country, hii imenishtua kwani issue si chama kipi kituongoze na mbaya zaidi bunge linaonekana kusimama na wezi nobody to turn to. Kwa mantiki hiyo hii inaweza kuwa mwanzo wa safari ya CCM kuvifuata vile vyama vyenzake maana kama ni magamba yashavuliwa bada sasa kijichune nyama.
Wote tuseme tawire!
 
Paka hafi kwa sumu!
Tatizo sisi Watanzania tunapenda kuongea ongea sana,vitendo zero!
CCM ilishakufa kabla ata Mwalimu Nyerere hajafa,CCM ni chama cha Wakulima na Wafanyakazi lakini nioneshe Mkulima au mfanyakazi gani ana sauti ndani ya CCM?
Hayo makundi mawili yametekwa na mabepari uchwara ambao wamegeuka makuwadi wa soko uria kula 10% kutoka kwa Mabeberu na kuwaacha Watanzania masikini.
Toka Bunge limeanza ni nani umemsikia anatetea maslahi ya Wafanyakazi na Wakulima?
Mbunge analipwa 12,000,000 kwa mwezi,nitajie ni mfanyakazi gani wa serikali analipwa pesa kama iyo kuanzia Waalimu,Madaktari na kada zote za chini Wizarani,Mikoani na Wilayani.
Kwanini Mbunge analipwa pesa nyingi?ni kwasababu ndiyo mtunga sheria na mpitishaji wa sera na mipango mbalimbali ya serikali iliyotekwa na Wahuni!
#Kataawahuni!
 
Sijawahi kupiga ramli wala si mtabiri ila kwa yanayoendelea nchini na kwa manung'uniko ya wananchi kila mahala ,si ajabu hiki chama kiko mbioni kuvifuata vyama vyenzake vya ukombozi huko mahala pema.
Kwavile kila lenye mwanzo pia linamwisho, tulianza na TANU na ASP vikafika mwisho!, CCM ilazaliwa, itafika mwisho mimi kwa hesabu zangu safari ya mwisho ya CCM labda itaanza 2030
Watanzania wa sasa wamebadirika mno, nadhani zamani kidogo ilikuwa tofauti ila sasa kila mmoja anatambua nini anataka kuona kutoka kwa watawala.
Naunga mkono hoja
Hata kama hakuna chama kinacho promise future yetu ila kwenye mijadara so many people are calling to take back control of their country, hii imenishtua kwani issue si chama kipi kituongoze na mbaya zaidi bunge linaonekana kusimama na wezi nobody to turn to.
Kama ulivyokiri hakuna mbadala, CCM itaendelea kutawala mpaka mbadala upatikane na usipopatikana CCM CCM utaendelea kutawala milele Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
Kwa mantiki hiyo hii inaweza kuwa mwanzo wa safari ya CCM kuvifuata vile vyama vyenzake maana kama ni magamba yashavuliwa bada sasa kijichune nyama.
Hesabu zangu ni labda kuanzia Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!
P
 
Sijawahi kupiga ramli wala si mtabiri ila kwa yanayoendelea nchini na kwa manung'uniko ya wananchi kila mahala ,si ajabu hiki chama kiko mbioni kuvifuata vyama vyenzake vya ukombozi huko mahala pema.

Watanzania wa sasa wamebadirika mno, nadhani zamani kidogo ilikuwa tofauti ila sasa kila mmoja anatambua nini anataka kuona kutoka kwa watawala.

Hata kama hakuna chama kinacho promise future yetu ila kwenye mijadara so many people are calling to take back control of their country, hii imenishtua kwani issue si chama kipi kituongoze na mbaya zaidi bunge linaonekana kusimama na wezi nobody to turn to. Kwa mantiki hiyo hii inaweza kuwa mwanzo wa safari ya CCM kuvifuata vile vyama vyenzake maana kama ni magamba yashavuliwa bada sasa kijichune nyama.
Uko sawa kabisa kilitakiwa kufa kipindi kile cha afande wangu kikwete ila Magufuri mzee baba akaja kuwatoa shimoni( najua wengi watapinga) ila kabla hawajapinga waniambie ni kipindi gani wanaccm walipokuwa wanataka kwenda ktk mikutano ya wazi jezi wanaweka ktk mifuko mpaka sehemu ya mikutano ndio wanavaa.sasa kipindi hicho kinarudi kwa kasi sema sasa na upande wa pili hakuna kitu, labda ndugu yangu Mayalla atupatie mbadala (UTANI)
 
CCM kwaherini kawasalimieni maiti wenzenu wa KANU UNIP MLRND.

Propaganda zenu na Mabango yenu hayazuii natural death.

Kateni roho haraka ili tuingie mitaani kwa furaha shangwe nderemo vifijo na hoihoi.
 
Wananchi wameelimika,

Hawadanganyiki tena,

Hawamnyoshei kidole tena MP, Wanapint direct oo1 kuliko chanzo Cha matatizo.

CCM kufa, Ili Nchi Ipone.

Amen
 
Kafa Nyerere na Karume walioianzisha CCM. Itakuwa CCM

Hakuna chenye mwanzo kikakosa mwisho, wala usijidai kutuletea mawazo yako ya kishirikina.

Iwe CCM au chama kingine chochote rulers wii remain to be rulers and the ruled ones will remain to be the ruled ones.
 
Sijawahi kupiga ramli wala si mtabiri ila kwa yanayoendelea nchini na kwa manung'uniko ya wananchi kila mahala ,si ajabu hiki chama kiko mbioni kuvifuata vyama vyenzake vya ukombozi huko mahala pema.

Watanzania wa sasa wamebadirika mno, nadhani zamani kidogo ilikuwa tofauti ila sasa kila mmoja anatambua nini anataka kuona kutoka kwa watawala.

Hata kama hakuna chama kinacho promise future yetu ila kwenye mijadara so many people are calling to take back control of their country, hii imenishtua kwani issue si chama kipi kituongoze na mbaya zaidi bunge linaonekana kusimama na wezi nobody to turn to. Kwa mantiki hiyo hii inaweza kuwa mwanzo wa safari ya CCM kuvifuata vile vyama vyenzake maana kama ni magamba yashavuliwa bada sasa kijichune nyama.
Chuma chako mapema is an extinct political entity
 
CCM haiwezi kufa leo wala kesho pamoja na madudu yote inayofanya...

Itakufa tu pale Watanzania watapojielewa na akili zao kurudi...
 
Sijawahi kupiga ramli wala si mtabiri ila kwa yanayoendelea nchini na kwa manung'uniko ya wananchi kila mahala ,si ajabu hiki chama kiko mbioni kuvifuata vyama vyenzake vya ukombozi huko mahala pema.

Watanzania wa sasa wamebadirika mno, nadhani zamani kidogo ilikuwa tofauti ila sasa kila mmoja anatambua nini anataka kuona kutoka kwa watawala.

Hata kama hakuna chama kinacho promise future yetu ila kwenye mijadara so many people are calling to take back control of their country, hii imenishtua kwani issue si chama kipi kituongoze na mbaya zaidi bunge linaonekana kusimama na wezi nobody to turn to. Kwa mantiki hiyo hii inaweza kuwa mwanzo wa safari ya CCM kuvifuata vile vyama vyenzake maana kama ni magamba yashavuliwa bada sasa kijichune nyama.

Bila machafuko au mapinduzi ya kijeshi hatuwezi kufikia mabadiliko tunayotamani. CCM tayari imeshachokwa kwani sio chama cha kizazi hiki. Woga wetu tu ndio unaifanya CCM iendelee kukaa madarakani kwa shuruti.
 
Labda uwe unaota au ni utani lakini CCM ipo sana na itakuwepo sana. Uzuri wa CCM haifanyi siasa za matukio au za kupita kama upepo ila ni siasa za kisayansi mno

Hakuna sayansi kwenye kupora uchaguzi kwa kutegemea vyombo vya dola, hiyo sio sayansi bali ni siasa za mabavu. Usichanganye sayansi na mabavu kupitia vyombo vya dola.
 
Back
Top Bottom