Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,618
- 4,605
- Thread starter
-
- #41
As far as rulers are responsible we don't care who is sitting over there. We missed you Faiza Fox upo?Kafa Nyerere na Karume walioianzisha CCM. Itakuwa CCM
Hakuna chenye mwanzo kikakosa mwisho, wala usijidai kutuletea mawazo yako ya kishirikina.
Iwe CCM au chama kingine chochote rulers wii remain to be rulers and the ruled ones will remain to be the ruled ones.
Hii ni ndoto ya mchana watanzania wachache sana wanaofuatilia mambo ya nchi kuhusu ubadhirifu wa mali za uma kuna watu wengi sana hawajui hata CAG ni nini
We have no choice. Rulers will remain to be rulers.As far as rulers are responsible we don't care who is sitting over there. We missed you Faiza Fox upo?
Labda sayansi ya kuiba kura na Kodi za wananchi hapo sawa.Labda uwe unaota au ni utani lakini CCM ipo sana na itakuwepo sana. Uzuri wa CCM haifanyi siasa za matukio au za kupita kama upepo ila ni siasa za kisayansi mno
I totally agree with you but not necessarily from vegetables . The cartel in now down the hill .believe me or not Faiza FoxWe have no choice. Rulers will remain to be rulers.
Labda uwe unaota au ni utani lakini CCM ipo sana na itakuwepo sana. Uzuri wa CCM haifanyi siasa za matukio au za kupita kama upepo ila ni siasa za kisayansi mno
Rais wetu shupavu na madhubuti Ndio chaguo la watanzania na CCM ndio Tumaini la watanzaniaRais wetu hayupo serious na lolote tatizo linaanzia hapo.
Uaani wangeluusu chama Cha umoja part nakwambia mtikidiko ungekuwa mkubwa ndani ya chama zaidi ya lowasa ,maana asilimia kubwa ya wabunge watamwagwa ,madiwani pia wenyeviti pia waangeamia upande wa umoja, Nii wanayoisambaza ya sukuma gang ingewatowa jasho ,pia naii ya kuuamia dar kimyakimya Dodoma napo pangewasumbua sana na machinga nao wangewapa shida sana, ccm wajanja sana wanaiendesha nchi kisiasa sana wanajuwa nguvu ya nje kabda ya muda wa uchaguziSijawahi kupiga ramli wala si mtabiri ila kwa yanayoendelea nchini na kwa manung'uniko ya wananchi kila mahala ,si ajabu hiki chama kiko mbioni kuvifuata vyama vyenzake vya ukombozi huko mahala pema.
Watanzania wa sasa wamebadirika mno, nadhani zamani kidogo ilikuwa tofauti ila sasa kila mmoja anatambua nini anataka kuona kutoka kwa watawala.
Hata kama hakuna chama kinacho promise future yetu ila kwenye mijadara so many people are calling to take back control of their country, hii imenishtua kwani issue si chama kipi kituongoze na mbaya zaidi bunge linaonekana kusimama na wezi nobody to turn to. Kwa mantiki hiyo hii inaweza kuwa mwanzo wa safari ya CCM kuvifuata vile vyama vyenzake maana kama ni magamba yashavuliwa bada sasa kijichune nyama.
dmkali ongea kitu mkuuuu 😁Sijawahi kupiga ramli wala si mtabiri ila kwa yanayoendelea nchini na kwa manung'uniko ya wananchi kila mahala ,si ajabu hiki chama kiko mbioni kuvifuata vyama vyenzake vya ukombozi huko mahala pema.
Watanzania wa sasa wamebadirika mno, nadhani zamani kidogo ilikuwa tofauti ila sasa kila mmoja anatambua nini anataka kuona kutoka kwa watawala.
Hata kama hakuna chama kinacho promise future yetu ila kwenye mijadara so many people are calling to take back control of their country, hii imenishtua kwani issue si chama kipi kituongoze na mbaya zaidi bunge linaonekana kusimama na wezi nobody to turn to. Kwa mantiki hiyo hii inaweza kuwa mwanzo wa safari ya CCM kuvifuata vile vyama vyenzake maana kama ni magamba yashavuliwa bada sasa kijichune nyama.
Lazima aanze na "ndugu zangu"...!Utadhani anahutubia wanakijiji wenzie.Only Lucas Mwashambwa has different opinions.
Wengi wanapulizwa na tambiko la kitaifa, we kama ungekuwa na uwezo fanya mkutano wowote wa hadhara mchana kuongelea hali ya kisiasa, utawala au chochote kinachohusu maendeleo nchini mchana au asubuhi utaona ni suti na magari ya wanufaika wa hizo hoja ndio watakuwa washiriki wakuu. Ila kwenye tambiko ndio utaona wanchi wanajuaje tena wanafika bila mualikoCCM haiwezi kufa leo wala kesho pamoja na madudu yote inayofanya...
Itakufa tu pale Watanzania watapojielewa na akili zao kurudi...
Unamsoma vibaya rais wako mkuu 'Stroke'.Rais wetu hayupo serious na lolote tatizo linaanzia hapo.
Tutajua 2024, kuna watu wakiwa serious na kutoka CCM na wasiende CHADEMA wala ACT.Sijawahi kupiga ramli wala si mtabiri ila kwa yanayoendelea nchini na kwa manung'uniko ya wananchi kila mahala ,si ajabu hiki chama kiko mbioni kuvifuata vyama vyenzake vya ukombozi huko mahala pema.
Watanzania wa sasa wamebadirika mno, nadhani zamani kidogo ilikuwa tofauti ila sasa kila mmoja anatambua nini anataka kuona kutoka kwa watawala.
Hata kama hakuna chama kinacho promise future yetu ila kwenye mijadara so many people are calling to take back control of their country, hii imenishtua kwani issue si chama kipi kituongoze na mbaya zaidi bunge linaonekana kusimama na wezi nobody to turn to. Kwa mantiki hiyo hii inaweza kuwa mwanzo wa safari ya CCM kuvifuata vile vyama vyenzake maana kama ni magamba yashavuliwa bada sasa kijichune nyama.
Mpaka amalize muda wake kwa kutulazimisha nchi itakuwa ICU.Unamsoma vibaya rais wako mkuu 'Stroke'.
Yupo "serious" kweli kweli na kuibadili CCM wakati huu kutoka CCM ya maigizo ya chama kilichowahi kuwa chama cha ukombozi; chama cha wafanyakazi na wakulima na kukifanya kuwa chama cha mafisadi, mabwenyeye na kila takataka unayoweza kuifikiria mwenyewe.
Hadi hapo atakapokuwa ameimaliza kazi hii, hutaitambua tena CCM kwamba iliwahi kuwa chama chenye kusimamia maslahi na haki za waTanzania
Katika viongozi wote waliowahi kuiongoza CCM, ukimwondoa Mwalimu Nyerere, hakuna mwingine aliyewahi kukibadili chama hiki kiasi atakachokifikia Samia.