Nakodisha Line za uwakala wa mitandao ya simu

Labda alimaanisha uwakala wa NMB, CRDB, nk.
By the way hiyo biashara kwa sasa ni ngumu sana! Na hasa baada ya kuongezwa kwa tozo.
Tupeni ukweli wa mambi nyie wenye uzoefu tuangalie jinsi ya kuwakwamua Mama zetu
 
Tupeni ukweli wa mambi nyie wenye uzoefu tuangalie jinsi ya kuwakwamua Mama zetu
Hizo line hazina gharama kivile. Shida iko kwenye vigezo vya kuzipata kwa njia halali.

Ni lazima uwe na leseni ya biashara na pia TIN kutoka TRA ya kuonesha wewe ni mlipa kodi! Na kumbuka tu huko kote lazima uliwe hela kulingana na eneo utakapofanyia biashara.
 
Kwa laini zote? Na hii ya kufata masharti ni masharti gani maana ki kawaida ikifika kwenye shop zao wanakudirect kwa mtu hizo mambo na kimsingi ndo anakutajia hizo bei
Vishoka hao.nenda makao makuu
 
Yeah, leseni ya biashara lazima ulipie, ni utaratibu wa nchi
 
Naomba ukweli wa hili jambo maana naona hapa nilipo naweza fanya kitu
Ukweli wanajua wenye mitandao wenyewe mkuu, ila in symmary ni kua mitandao husema line za uwakala ni bure ila ukifika kwenye hayo maduka yao mtahangaishana mpaka unaingia mfukoni mkuu
 

jela inakuhusu....
 
Ukweli wanajua wenye mitandao wenyewe mkuu, ila in symmary ni kua mitandao husema line za uwakala ni bure ila ukifika kwenye hayo maduka yao mtahangaishana mpaka unaingia mfukoni mkuu
Laini ya biashara siyo bure Mkuu.
Wala usajili wa laini bure siyo Sheria.
 
Kaka nichek 0616992338
 
Mkuu uko mkoa gani na je location ya ulipokua unafnyia biashara unaionaje kwa biashara? Kama patakua vzr nizichukue line lkn kwa msharti ya kukodishiwa na eneo la biashara kabisa
 
Laini ya uwakala bure ,sina hakika na Hilo tangazo,
Huwa ni bure, shida ni mzunguko (utaratibu) ndomana kuokoa muda watu wanatoa chochote kitu kwa mawakala wa mitaani.
 
Hilo tangazo hua lipo kila mwaka, lakini ukifika katika shop zao hali ni tofauti. Hilo ndo swali langu mkuu
Hata kwenye shop zao ni bure ila masharti mengi (leseni ya biashara, tin, nida etc) na bado utatakiwa kusubiri line siku kama si miezi kadhaa ndomana watu wanatafuta shortcut mitaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…