Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
Hapo vipi,
Kuna tatizo moja linanishangaza na kunipa mawazo zaidi.
Ni takribani miaka sasa ikifika saa saba au nane usiku naanza kukohoa sana, au saa zingine saa saba mchana.
Ila masaa mengine nakua nipo sawa kabisa.
Wataalam tafsiri yake nini.
Fanya utafiti Inawezekana ukiwa kwenye usingizi mate yanakupalia then unaanza kukohoa.
Pili kama una mazoea ya kula mlo mkubwa usiku na kwenda kulala bila ya kusubiri mmengenyo wa chakula kufanyika vizuri utapata hilo tatizo.
Tatizo la gasi wakati wa mmengenyo wa chakula kuna acid inreflux back kurudi kwenye koo na kusababisha kukohoa.
Jitshidi kulala na mto wa nchi 8 au 9
Epuka kula mlo mzito usiku na kwenda kulaka chukuwa angalau 2hrs baada ya mlo
Tumia dawa za kupunguza acid ant acid
Ukipata nafuu rudi kwa ushuhuda