Nakshi nyumba yako na Tanga stone

Fundi rangi

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2014
Posts
3,527
Reaction score
1,210
Hapa tunakuletea ujenzi bora wa Tanga stone. Tumebobea kubuni kukata na kuyajenga mawe ya Tanga.

Ofisi yetu ipo Rufungira Mwenge utatupata kwa namba hii 0766111212
pia kupitia whatsapp utaweza kuona kazi zetu mbalimbali.


Katika picha hizi kuna kazi ambazo nimefanya mimi nyingine sio zangu, ila nimelenga kukuonesha mwonekano wa Tanga stone ,
 
Tuite tuyapambe makazi yako kwa nakshi ya Tanga stone.
 
Bei zenu zikoje mkuu?
Ndg Bei inategemea na hitaji lako. Jiwe la Tanga garama yake ni kwenye kunikata. Kuna wanao nunua mawe wanaenda kujenga wenyewe na kuna wanao hitaji kujengewa. Maana yake fundi atayakata na kuyajenga.
 
Ndg Bei inategemea na hitaji lako. Jiwe la Tanga garama yake ni kwenye kunikata. Kuna wanao nunua mawe wanaenda kujenga wenyewe na kuna wanao hitaji kujengewa. Maana yake fundi atayakata na kuyajenga.
Hapa unaweza kuona tofauti.
 
Very good work! Nafurahi inatoka hapo. Huku tunaletewa from RSA...kwa sq m! Hongera sana
 
Bora umesema ukweli,

Hayo ya tanga na yale ya Morogoro wanayo tengenezea Mabo yapi mazuri imara?
 
0766111212 hii ndiyo namba ya kutupata.
 
Tofauti na tiles zenye muonekano kama huu ni nini?
Ndg hii kazi wengi wanapenda kwasababu ya sanaa, Tanga stone ni jiwe halisi tofauti na tiles ambazo pia kila baada ya muda zinaisha fashion, lakini jiwe litabaki ni jiwe halisi daima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…