Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mafundi wengi kama amekuja site akakukuta unayo mawe tayari, square mt 1 kukata na kujenga ni tsh. Tshj 35,000 mimi nafanya tsh. 28,000.Angalau ungesema gharama kwa kila 'square metre' kukata tu au na kujenga!
Zamu yako kuniita sasa niyapambe makazi yako.Yanapendezesha nyumba
0766111212 utatupata kwa namba hii pia kupitia whatsapp utaweza kuona kazi zetu mbalimbali.
Nakuombea ufanikiwe.Siku nikipata hela nita....
Jiwe linalopendeza linakatwa namna hii.Tazama mwonekano wa Tanga stone kwenye Jengo.