Nakshi nyumba yako na Tanga stone

Tuite tuyapambe makazi yako na Tanga stone.
 
Kwa hapa Dar sqm moja inaenda kwa bei gani?
 
0766111212 hii ndiyo namba ya kutupata.
 
Ni wakati wa kuyapamba makazi yako na Tanga stone.
 
Kwangu mimi ukiniletea mawe site kukata na kujenga ni tsh. 28,000. Kazi kubwa ipo kwenye kukata.
Huu ni mwonekano wa sehemu ya kazi za Tanga Stone. Picha hizi ni kwa hisani wa wadau wa Tanga stone.
 
Tuite sasa tuyapambe makazi yako na Tanga stone.
 
Ndg Bei inategemea na hitaji lako. Jiwe la Tanga garama yake ni kwenye kunikata. Kuna wanao nunua mawe wanaenda kujenga wenyewe na kuna wanao hitaji kujengewa. Maana yake fundi atayakata na kuyajenga.
Tupe mfano wa bei zake kwa square mita:
Lililosafishwa juu tu bila kukatwa
Lililosafishwa na kukatwa vitofali

Hii itatusaidia kufanya makisio kwa uhalisia zaidi
 
Tupe mfano wa bei zake kwa square mita:
Lililosafishwa juu tu bila kukatwa
Lililosafishwa na kukatwa vitofali

Hii itatusaidia kufanya makisio kwa uhalisia zaidi
Ndg mawe yanatoka Tanga kama mapende yanakatwa baada ya kufika site. Ila kwenye Fuso kubwa moja tunapata wastani wa sqm 60-68
 
Ndg Bei inategemea na hitaji lako. Jiwe la Tanga garama yake ni kwenye kunikata. Kuna wanao nunua mawe wanaenda kujenga wenyewe na kuna wanao hitaji kujengewa. Maana yake fundi atayakata na kuyajenga.
Angalau ungesema gharama kwa kila 'square metre' kukata tu au na kujenga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…