Nakshi nyumba yako na Tanga stone

Angalau ungesema gharama kwa kila 'square metre' kukata tu au na kujenga!
Mafundi wengi kama amekuja site akakukuta unayo mawe tayari, square mt 1 kukata na kujenga ni tsh. Tshj 35,000 mimi nafanya tsh. 28,000.
 
0766111212 utatupata kwa namba hii pia kupitia whatsapp utaweza kuona kazi zetu mbalimbali.
 
Kutana na mafundi bingwa wa Tanga stone.
 
Kwa wale mnaopiga simu kuuliza maswali, ni kwamba mawe haya yanatoka Tanga.
 
kaz nzuri,ungetaja japo bei kwa square metre ingetufungua kidogo
 
Tazama mwonekano wa Tanga stone kwenye Jengo.
 

Attachments

  • 1496850860913.jpg
    42 KB · Views: 193
  • 1496850865559.jpg
    48 KB · Views: 178
  • 1496850869577.jpg
    46.7 KB · Views: 180
  • 1496850874990.jpg
    47.9 KB · Views: 178
Karibu ndg mdau na Kwenye Ujenzi wa Tanga stone.
 
Karibuni wadau kwa nakshi za Tanga Stone.
 
0766111212 hii ndiyo namba ya kutupata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…