Fundi rangi
JF-Expert Member
- Sep 11, 2014
- 3,527
- 1,210
- Thread starter
-
- #61
Hapana Ndg.Mnayo ya yaliyosuguliwa (kama terazo) ili niyatumie badala ya tiles?
0766111212 namba ya kutupata. Whatsapp pia utatupata kwa namba hii.
Tank bovu hyo mbezi beach mkuu ni nyumba ambayo na admire sana one day yes tu.Hapa tunakuletea ujenzi bora wa Tanga stone. Tumebobea kubuni kukata na kuyajenga mawe ya Tanga.
Ofisi yetu ipo Rufungira Mwenge utatupata kwa namba hii 0766111212
pia kupitia whatsapp utaweza kuona kazi zetu mbalimbali.
View attachment 517350View attachment 517351View attachment 517352View attachment 517355
Katika picha hizi kuna kazi ambazo nimefanya mimi nyingine sio zangu, ila nimelenga kukuonesha mwonekano wa Tanga stone ,
Mkuu ni kwa Sqm.Bei ni kwa sq meter au unachaji vipi
28,000 kwa size ipi ya ukuta ndugu fundiKwangu mimi ukiniletea mawe site kukata na kujenga ni tsh. 28,000. Kazi kubwa ipo kwenye kukata.
Ndg garama hiyo nakata jiwe na kujenga kwa sqm 1. Mawe kwako28,000 kwa size ipi ya ukuta ndugu fundi