Nakuachaje sasa? Si kwa kuchukua moyo wangu na kuuteka hivi

Nakuachaje sasa? Si kwa kuchukua moyo wangu na kuuteka hivi

Amna ata, sikumaanisha vile, yaani nilimaanisha tugawane hizo backups, pia nilisema kwa utani tu chukulia poa
Backup kama ulimanisha vile swadakta mkuu usiogope tupo pamoja tuombe uzima tuuu...😁😁😁😁
 
Komaa nae na ufanye vitu vya maana uje kutupa mrejesho hapa. Ila kuwa makini sana
Nipo makini sana tena sana mkuu....
Nipo makini navyokwambia naelewa nachofanya jua namaanisha l....

Najua sio ndo nitakaa nae hadi mwisho hapana kuna mda mi nitahitaji kuwa na life yangu ila kipindi hiki kuna kitu natengeneza kwanza...

πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹ Ngoja niongeze sauti
NISIULIZWE by JUX
 
min -me now najua unatamani fursa kama hizi..

Ulishachezea shiringi kwa choo blood cool cool πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
πŸ˜‚Najua ndio maana kuna mtu alikuomba msaada ukamsaidia, ukamwahidi utaweka na thread
Mkuu linapokuja suala la huyu mtu niliyenaye sasa hivi aiseee siwezi fanya kitu chochote against yeye....

Mkuu tupo deep sana yaani kiasi kwamba akija mtu wa petroleum atasema tunaenda discover oil
 
Yah mapenzi ni nature na meditation ni kwa ajili ya kupata utulivu , penye utulivu pana mapenzi ya kweli.
Nipo sehemu sahihi kumbe...
Blood shida ilikua nini why huku stick...

Kwanini hukua stationary
Ukawa dynamic 😁😁😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom