Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
- Thread starter
-
- #481
Alhamdullilaah nipo poa kabisa..Puwa bleini mmeamkaje na jimama lakoπ€£πView attachment 3074698
Nafurahi kusikia hivo πππππNiko pw...
Una mtoto labda kadogodogo hivi figure namba eiti nachuro, busara kidogo nini, ke mo?Niko pw...
Backup kama ulimanisha vile swadakta mkuu usiogope tupo pamoja tuombe uzima tuuu...ππππAmna ata, sikumaanisha vile, yaani nilimaanisha tugawane hizo backups, pia nilisema kwa utani tu chukulia poa
Mapenzi kitu kingine mkuuHahaa π
Sjakuelewa...Una mtoto labda kadogodogo hivi figure namba eiti nachuro, busara kidogo nini, ke mo?
Astaghafilulah astaghafilulahπAlhamdullilaah nipo poa kabisa..
Katoka mapema hapa
Ila hii picha sijapenda sijajua unataka kumanisha nini wewe kiumbe ππππ
Khaaa wewe nani wa kupigwa sasaAmsaidie tu ila asiwe anampiga piga atamuumiza
BasiSjakuelewa...
Nipo makini sana tena sana mkuu....Komaa nae na ufanye vitu vya maana uje kutupa mrejesho hapa. Ila kuwa makini sana
Anazingua huyu aiseee ππππAstaghafilulah astaghafilulahπ
Mr pua kati ya mapenzi na msaada unachagua kipiAnazingua huyu aiseee ππππ
Usitake nionekane mtu wa hovyo hapa..Mr pua kati ya mapenzi na msaada unachagua kipi
πNajua ndio maana kuna mtu alikuomba msaada ukamsaidia, ukamwahidi utaweka na threadUsitake nionekane mtu wa hovyo hapa..
Ila ushajua nachagua nni mimi πππππ
Mkuu linapokuja suala la huyu mtu niliyenaye sasa hivi aiseee siwezi fanya kitu chochote against yeye....πNajua ndio maana kuna mtu alikuomba msaada ukamsaidia, ukamwahidi utaweka na thread
Nipo sehemu sahihi kumbe...Yah mapenzi ni nature na meditation ni kwa ajili ya kupata utulivu , penye utulivu pana mapenzi ya kweli.