Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Wewe shangazi kwa pigo zako. Kila mtu atakung'ang'ania.
Sio kwa kuchukua moyo wangu na kuuteka hivi.
Uliponiroga karoga tena maana nainjoi umefanya mpaka nisahau kilichonileta hapa jijini dasalam.
Nakuachaje kwa mfano. Kwa hizi starehe.... πππππ