Nakuachaje sasa? Si kwa kuchukua moyo wangu na kuuteka hivi

Kuna jamaa nae "alibahatika" kupata mdada around 48, huyo dada alikuwa na mapene balaa ila alikuwa mkiwa sana yule dada...

Jamaa alienjoy sana, kidogo angemsahau mkewe kwa raha alizokuwa anapewa. First time kuwekana 5* hotel, mdada akampa hadi kadi, anamuwekea humo pesa ili wakiingia sehemu jamaa ndio analipa(kuonyesha uanaume).

Siku alipoachwa ilikiwa kama jamaa yupo kwa ndoto, hakuamini.
Mwanamke kwa asili ni wa kupokea.
Kiumbe pekee ambaye kutunza kiumbe mwingine hachoki, halalamiki,haoni ni mzigo, haoni anaelemewa ni MWANAUME.
Sisi huwa tunachoka af ghafla tu unakinahi!
Unachoka!

Kumpa mwanaume hela ili akukaze hwa vuuuuuup unaona eiiish mbon kama natumika, mbna kama kitonga sana, mbna kama huyu karidhika na hii,mbona kama najifanya mwenyewe.

Unashtukia,
NAOMBA USINITAFUTE TENA, SINA TATIZO NA WEWE its just naomba usinitafute
 
Unazinguwa 😁😁😁😁😁😁😁 weweee weee unafeliiiii
 
Mbona simba jike anatunza dume na watoto poa tu.
 
Mwanamke kwa asili ni wa kupokea.
Kiumbe pekee ambaye kutunza kiumbe mwingine hachoki, halalamiki,haoni ni mzigo, haoni anaelemewa ni MWANAUME.
Sisi huwa tunachoka af ghafla tu unakinahi!
Unachoka!

Kumpa mwanaume hela ili akukaze hwa vuuuuuup unaona eiiish mbon kama natumika, mbna kama kitonga sana, mbna kama huyu karidhika na hii,mbona kama najifanya mwenyewe.

Unashtukia,
NAOMBA USINITAFUTE TENA, SINA TATIZO NA WEWE its just naomba usinitafute
Hata mwanaume akipewa pesa na mwanamke lazima ajishtukie zamani hizo nilikua nina mpenzi anaejimudu uchumi mimi ndio kwanza nimetoka chuo , tukitoka alikua ananipa pesa nilipie kila kitu 😁😁 nilikua najisikia vibaya mno ikabidi nimwache kwa siri .
 
wenzio wanaona raha na ndo wanataka hivyo siku hizi vijana
 
Na una tiki ya blue mkuu 😁😁😁😁🤛🤛
Ona vijana wenzako wanavyojadili hukoo🤣🤣🤣
IMG-20240819-WA0012.jpg
 
Hata mwanaume akipewa pesa na mwanamke lazima ajishtukie zamani hizo nilikua nina mpenzi anaejimudu uchumi mimi ndio kwanza nimetoka chuo , tukitoka alikua ananipa pesa nilipie kila kitu 😁😁 nilikua najisikia vibaya mno ikabidi nimwache kwa siri .
Unajiskiaje vibaya...
Unawazimu wewe ety 😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom