Nakuachaje sasa? Si kwa kuchukua moyo wangu na kuuteka hivi

Aisee. Hongera sana ๐Ÿ˜…
Mamy mybe kuna kitu ujui...

Mi mtoto wa mbagala(majimatitu) kuna life ambalo nimepitia so katika moja na mbili huwa nikipata chance kama hizi huwa nafanya kweli...

I care
I protect
I pretend

Mpaka sasa ubao wangu na yeye unasoma 3-2 an the way na mtreat kuniacha gafula nitaamini uchawi upo ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Mkuu jana nilipotea humu yaani uwezi amini siki za work kama hizi mda wa usku huwa situlii yaani mtu anataka afanyiwe massage tuu kila mda an..

Yataka moyo huku ujue ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Hahaa ๐Ÿ˜‚, kuna msemo unasema "Kizuri kula na wenzako", kina Bantu Lady, Leejay49 , Etugrul Bey wanatimiza hili kwa kula na sisi Vocha, wewe unatimizaje huo msemo ๐Ÿ˜Š
 
Babeka, ko umeenda kumpiga backup mmama wa watu ๐Ÿ˜‚, acha wizi
Siibi mimi mkuu ila ni yeye tu..
Mkuu kuna watu unaweza kuwa unawaogpa huko mtaani ukaona ni wamama na heshima zao ila kiuhalisia upande wa hisia wapo lonely sana mkuu weee acha tuu
 
Mamy mybe kuna kitu ujui...

Mi mtoto wa mbagala(majimatitu) kuna life ambalo nimepitia so katika moja na mbili huwa nikipata chance kama hizi huwa nafanya kweli...

I care
I protect
I pretend

Mpaka sasa ubao wangu na yeye unasoma 3-2 an the way na mtreat kuniacha gafula nitaamini uchawi upo ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…Ongeza na ubunifu. Utakusaidia ๐Ÿ˜…kijana umejipata hadi unatoa Ushuhuda ujue Mambo ni moto.
 
Hahaa ๐Ÿ˜‚, kuna msemo unasema "Kizuri kula na wenzako", kina Bantu Lady, Leejay49 , Etugrul Bey wanatimiza hili kwa kula na sisi Vocha, wewe unatimizaje huo msemo ๐Ÿ˜Š
We pumbavuuu et ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜..
Kwanza kuna jamaa anataka picha et serious....

Huo msemo wa kizuri kula na wenzako unapingwa na ule kikulacho kinguoni mwako..

Mkuu siwezi fanya huo ujinga kwanza hapa mjengoni hata wana wangu hawatimbi zaidi anakujaga ni mdogo angu tuu tena huyu ni wa kike.
 
Siibi mimi mkuu ila ni yeye tu..
Mkuu kuna watu unaweza kuwa unawaogpa huko mtaani ukaona ni wamama na heshima zao ila kiuhalisia upande wa hisia wapo lonely sana mkuu weee acha tuu
Haya bhan mkubwa, we endelea kurest in Mos Love๐Ÿ˜Š enjoy your Love
 
Puwa bleini mmeamkaje na jimama lako๐Ÿคฃ๐Ÿ˜
1720199203756.jpg
 
We pumbavuuu et ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜..
Kwanza kuna jamaa anataka picha et serious....

Huo msemo wa kizuri kula na wenzako unapingwa na ule kikulacho kinguoni mwako..

Mkuu siwezi fanya huo ujinga kwanza hapa mjengoni hata wana wangu hawatimbi zaidi anakujaga ni mdogo angu tuu tena huyu ni wa kike.
Amna ata, sikumaanisha vile, yaani nilimaanisha tugawane hizo backups, pia nilisema kwa utani tu chukulia poa
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…Ongeza na ubunifu. Utakusaidia ๐Ÿ˜…kijana umejipata hadi unatoa Ushuhuda ujue Mambo ni moto.
Yqaah kiukweli nilipitia magumu kwa hawa watu..
Mana nilikua nikipata mtu wa namna hii anaishia kunipa ela za chai tu alafu hakuna cha maana nafanya..

Mara ya mwisho nilipata huyo ant flan yeye akanitafutia na kazi kabisa ila baada ya kwenda chuo tukazinguana mana nilipata vidada.

Sasa now nimekuja field huku huyu maza aiseee hapana sina mengi ila i swear hapa nimefika nimefika nimefikaaaaa
 
Komaa nae na ufanye vitu vya maana uje kutupa mrejesho hapa. Ila kuwa makini sana
 
Back
Top Bottom