Nakubali Yanga ni ya kwanza kucheza Nusu Fainali Confederation, nakataa Yanga sio Bingwa mara 29

Kweli ninakubaliana na hoja za Wanayanga kuwa wameweka Rekodi ya kufika Nusu Fainali na sasa wanaikaribia Fainali ya Mashindano CAF Confederation.

Nikiwa natumia ubongo huo huo kukubali hayo, nikiwa na akili timamu, na kwa mantiki ile ile, nakataa Yanga sio Bingwa mara 29 kwa sababu Ligi Kuu (Premier League) haina misimu 29 tangu ianze. Zamani hatukuwa na Premier League tulikuwa na Ligi Daraja la kwanza.

Mambo mengine yote yaliyobaki ni propaganda. Tuishi humo.
Nenda kakatalie TFF vinginevyo pumzika kwa amani kolo baada ya kufa kiume
 
utopolo mnakurupuka sana...
jamaa kawajoke kiaina ila nyie mmejaa kwenye kumi na nane zake bila kujielewa...
hapo anataka kufikisha massage kwamba kama Simba alifika fainali ya Kombe la caf mwaka 1993 lakini utopolo mnapinga et halikuwa na hadhi kwa sababu mfumo na utaratibu umebadilika... na mnaenda mbali zaidi kwa kusema hilo kombe la caf aliloshiriki Simba ni la zamani sana halikuwa na hadhi ukilinganisha na hili shirikisho..
sasa anataka kupima uelewa wenu kuhusu hili kombe lenu la NBC la 29 kwamba kwa nini mhesabie na makombe ya zamani ambayo Yanga mlichukua kipindi hicho ligi inaitwa daraja la kwanza na sio PL?
Labda wewe na huyo mleta uzi ndio mnashindwa kuelewa.
Fainali aliyocheza Simba mwaka 1993, ilikuwa ni Caf cup na wala haikuwa fainali ya kombe la shirikisho. Kwa kipindi hiko kombe la shirikisho lilikuwa linaitwa Africa cup winner's cup.

Kwa uthibitisho zaidi, ni kwamba mwaka 1993 hiyo ilifanyika fainali mashindano matatu, Zamalek akabeba kombe la Africa cup of champions club mwaka huo huo 1993, huku Al Ahly nae mwaka 1993 akabeba kombe la Africa cup winner's cup. Na Stella ambao wakacheza fainali na Simba mwaka huo huo 1993 ndio wakabeba kombe la CAF cup.
Katika mechi ya ufunguzi wa pazia jipya la msimu wa mwaka 1994, mechi ya caf super cup ilipigwa kati ya Zamalek (bingwa wa klabu bingwa) VS Al Ahly (bingwa wa shirikisho) na Zamalek akabeba kombe la super cup. Kama hiyo fainali aliyocheza Simba mwaka 1993 ingekuwa na hadhi sawa sawa na shirikisho basi ungeona bingwa wa hilo kombe akicheza CAF super cup.

Kuhusu makombe ya Yanga kufika idadi ya 29, ni kwamba wamehesabia makombe yote waliyopata kwa mashindano ya ligi kuu ya Tanzania bara. Ligi iliipitia katika mifumo mbali mbali ya mabadiliko lakini ilikuwa ni ligi hiyo hiyo ya Tanzania bara hivyo Yanga wakahesabia makombe ya ligi kuu Tanzania bara. Pia ikumbukwe kuwa kuna wakati ligi ilikuwa inahusisha timu kutoka Zanzibar (kombe la muungano)

Pamoja na kuwepo kwa kombe la muungano, ligi ya Tanzania bara ilikuwepo, na ligi ya Zanzibar pia ilikuwepo kisha zile top 3 kwa kila ligi walikuwa walishirikii kombe la muungano. Hivyo kuna kipindi Yanga alikuwa bingwa wa ligi kuu ya Tanzania bara lakini hakuwa bingwa wa kombe la muungano lakini kwenye orodha ya makombe yao wamehusisha ni ligi kuu bara pekee.
 
Basi tukubaliane kitu nyinyi kama kweli mlifika fainali huko 74 kweusi lile kombe halikuwa linaitwa klabu bingwa so tukubaliane hamkuwahi kufika fainali ya klabu bingwa ubishi uishe
Aahaaaaaaa

Nasubiria majibu
 
Labda wewe na huyo mleta uzi ndio mnashindwa kuelewa.
Fainali aliyocheza Simba mwaka 1993, ilikuwa ni Caf cup na wala haikuwa fainali ya kombe la shirikisho. Kwa kipindi hiko kombe la shirikisho lilikuwa linaitwa Africa cup winner's cup.

Kwa uthibitisho zaidi, ni kwaka mwaka 1993 hiyo ilifanyika fainali mashindano matatu, Zamalek akabeba kombe la Africa cup of champions club mwaka huo huo 1993, huku Al Ahly nae mwaka 1993 akabeba kombe la Africa cup winner's cup. Na Stella ambao wakacheza fainali na Simba mwaka huo huo 1993 ndio wakabeba kombe la CAF cup.
Katika mechi ya ufunguzi wa pazia jipya la msimu wa mwaka 1994, mechi ya caf super cup ilipigwa kati ya Zamalek (bingwa wa klabu bingwa) VS Al Ahly (bingwa wa shirikisho) na Zamalek akabeba kombe la super cup. Kama hiyo fainali aliyocheza Simba mwaka 1993 ingekuwa na hadhi sawa sawa na shirikisho basi ungeona bingwa wa hilo kombe akicheza CAF super cup.

Kuhusu makombe ya Yanga kufika idadi ya 29, ni kwamba wamehesabia makombe yote waliyopata kwa mashindano ya ligi kuu ya Tanzania bara. Ligi iliipitia katika mifumo mbali mbali ya mabadiliko lakini ilikuwa ni ligi hiyo hiyo ya Tanzania bara hivyo Yanga wakahesabia makombe ya ligi kuu Tanzania bara. Pia ikumbukwe kuwa kuna wakati ligi ilikuwa inahusisha timu kutoka Zanzibar (kombe la muungano)

Pamoja na kuwepo kwa kombe la muungano, ligi ya Tanzania bara ilikuwepo, na ligi ya Zanzibar pia ilikuwepo kisha zile top 3 kwa kila ligi walikuwa walishirikii kombe la muungano. Hivyo kuna kipindi Yanga alikuwa bingwa wa ligi kuu ya Tanzania bara lakini hakuwa bingwa wa kombe la muungano lakini kwenye orodha ya makombe yao wamehusisha ni ligi kuu bara pekee.
Umepiga mule mule
 
Labda wewe na huyo mleta uzi ndio mnashindwa kuelewa.
Fainali aliyocheza Simba mwaka 1993, ilikuwa ni Caf cup na wala haikuwa fainali ya kombe la shirikisho. Kwa kipindi hiko kombe la shirikisho lilikuwa linaitwa Africa cup winner's cup.

Kwa uthibitisho zaidi, ni kwamba mwaka 1993 hiyo ilifanyika fainali mashindano matatu, Zamalek akabeba kombe la Africa cup of champions club mwaka huo huo 1993, huku Al Ahly nae mwaka 1993 akabeba kombe la Africa cup winner's cup. Na Stella ambao wakacheza fainali na Simba mwaka huo huo 1993 ndio wakabeba kombe la CAF cup.
Katika mechi ya ufunguzi wa pazia jipya la msimu wa mwaka 1994, mechi ya caf super cup ilipigwa kati ya Zamalek (bingwa wa klabu bingwa) VS Al Ahly (bingwa wa shirikisho) na Zamalek akabeba kombe la super cup. Kama hiyo fainali aliyocheza Simba mwaka 1993 ingekuwa na hadhi sawa sawa na shirikisho basi ungeona bingwa wa hilo kombe akicheza CAF super cup.

Kuhusu makombe ya Yanga kufika idadi ya 29, ni kwamba wamehesabia makombe yote waliyopata kwa mashindano ya ligi kuu ya Tanzania bara. Ligi iliipitia katika mifumo mbali mbali ya mabadiliko lakini ilikuwa ni ligi hiyo hiyo ya Tanzania bara hivyo Yanga wakahesabia makombe ya ligi kuu Tanzania bara. Pia ikumbukwe kuwa kuna wakati ligi ilikuwa inahusisha timu kutoka Zanzibar (kombe la muungano)

Pamoja na kuwepo kwa kombe la muungano, ligi ya Tanzania bara ilikuwepo, na ligi ya Zanzibar pia ilikuwepo kisha zile top 3 kwa kila ligi walikuwa walishirikii kombe la muungano. Hivyo kuna kipindi Yanga alikuwa bingwa wa ligi kuu ya Tanzania bara lakini hakuwa bingwa wa kombe la muungano lakini kwenye orodha ya makombe yao wamehusisha ni ligi kuu bara pekee.
We nae tumechoka na huu mgazeti wako ,huna point ya maana.....

Unakaza shingo tu kwa ubishi wa kijinga,muwe na msimamo wana utopolo
Screenshot_20230426-151031~2.jpg
 
We nae tumechoka na huu mgazeti wako ,huna point ya maana.....

Unakaza shingo tu kwa ubishi wa kijinga,muwe na msimamo wana utopoloView attachment 2624893
Wewe nakujua mweupe kichwani hujuagi kujibu hoja, kutetea hoja bali mtu wa kukurupuka tu. Sasa hiyo picha uliyoweka hapo ielezee, unataka kusema nini? Sio una copy na ku paste tu vitu. Njoo kwa kuelezea hoja. Upo humu kwa bahati mbaya, ni moja ya watu wenye upeo mdogo sana wa kujibizana kwa hoja.

Mtu anaelezea jambo unasema gazeti, halafu ukaja na picha isiyokuwa na miguu wala kichwa. Picha isiyoeleweka, pole.
 
Nashukuru kwa kumnyoosha

WANANCHIIIIIIIIIIOOOOOOOOO. LEO NDIO ILE SIKU AMBAYO WANAYANGA WOTE TUNA BANG NAYO .
YAANI MAKOLO LEO NDIO RASMI WANAGEUZA VYOO MAHALA PAO PA KULILIA.
TUNAENDA KUTINGA FAINALI RASMI KWENYE ARDHI YA UGENINI.
MARK MY WORDS
 
Back
Top Bottom