Nakubaliana 100% na walichokifanya Wanajeshi wa Lugalo ( hasa MP ) kwa Kukamata, Kutesa na Kupiga Raia Kawe kwa Mauwaji

Nakubaliana 100% na walichokifanya Wanajeshi wa Lugalo ( hasa MP ) kwa Kukamata, Kutesa na Kupiga Raia Kawe kwa Mauwaji

Wakati majeshi ya kisasa yanasifiwa kwa kua na modern technology na precision equipment na kulinda raia wake popote walipo duniani, hapa Kuna jeshi linasifiwa kwa kupiga wanawake, wazee na watoto wanaopashwa kuwalinda wasio na hatia.
Mtuhumiwa Yuko polisi, badala ya kumfuata huko polisi wanakuja kupiga wanawake na vikongwe.
Halafu MTU anajitoa ufahamu kabisa anasifia a bunch of hooligans.
Wangekua wanaume kweli wsngemfuata mtuhumiwa kwa jeshi imara la polisi ndio wangejua hawajui na maji wangeita mma.
 
Wakati majeshi ya kisasa yanasifiwa kwa kua na modern technology na precision equipment na kulinda raia wake popote walipo duniani, hapa Kuna jeshi linasifiwa kwa kupiga wanawake, wazee na watoto wanaopashwa kuwalinda wasio na hatia.
Mtuhumiwa Yuko polisi, badala ya kumfuata huko polisi wanakuja kupiga wanawake na vikongwe.
Halafu MTU anajitoa ufahamu kabisa anasifia a bunch of hooligans.
Wangekua wanaume kweli wsngemfuata mtuhumiwa kwa jeshi imara la polisi ndio wangejua hawajui na maji wangeita mma.
Haha hivi yule wa zenj ni imara nae au sio wa hapo unapopaita imara😆
 
Umesoma cuba gani?? Unashindwa kuelewa vitu vidogo kama hv!!!
Ipo hv Genta ndiye MINOCYCLINE
Cuba ile ya kizazi cha 1975-80 ya vipanga sio ya vijana wa hovyo siku hizi.

Neno "Cuba" katika comment yangu inamaana kubwa kwa wale waliosoma miaka hiyo wanaelewa maana hiyo code word ikiashiria kuna something fishy or strange..
 
Cuba ile ya kizazi cha 1975-80 ya vipanga sio ya vijana wa hovyo siku hizi.

Neno "Cuba" katika comment yangu inamaana kubwa kwa wale waliosoma miaka hiyo maana ni code word ikiashiria kuna something fishy or strange..
Tulia mimi ndiye kiongoz wa waliosoma cuba
 
Kuna Member Mmoja ( maarufu sana hapa Jamiiforums ) ila nimemsahau tu Jina amekuwa akianzisha Threads nyingi tu za Kuwalaumu Wanajeshi wa Lugalo ( hasa MP ) kwa Wiki iliyopita Kukamata Watu, Kuwatesa na Kuwapiga baada ya Raia wa Kawe Dereva Bajaji Kumuua kwa Kumchoma na Kisu Moyoni Askari wa JWTZ ( Luteni Kanali ) kutokana na Bangi zake Kichwani.

MINOCYCLINE nawalaumu mno Wanajeshi wa Lugalo ( hasa MP ) kwa kuishia Kuwatesa na Kuwajeruhi tu hao Raia na baadae Kuwaachia huru Wakipumua kwa kuwaonea Huruma.

CDF Gen. Mkunda tafadhali Wanajeshi wako wasiwaonee Huruma kabisa Raia ( hasa wa Kawe ) na Kwingineko pale Raia wakikosea kwa Makusudi na Wakiwadhuru Wanajeshi wako bali naomba wawe Wanawapiga Kikatili na ikibidi wawe wanamaliza Shughuli kabisa ili Raia washikwe na Adabu na wajifunze Kuliheshimu Jeshi na Kuwaheshimu Wanajeshi ambao wamejitoa Mhanga Kuwalinda na Kulinda Mipaka yote ya Tanzania.

MINOCYCLINE kama Mtetezi Mwandamizi wa Wanajeshi ( JWTZ ) na Shabiki wa Vitendo vyote vya kutia Adabu vinavyofanywa na Wanajeshi ( hasa MP ) kwa Raia nasema iwe mwanzo na mwisho Kulikosoa na Kulichokoza Jeshi Bora Afrika ya Mashariki na Kusini mwa Afrika la JWTZ na msipobadilika mtastahili tu Kukamatwa, Kupigwa, Kuteswa na hata Kuwahisha nao Sakafuni / Udongoni vile vile.
Yaani umeshindwa kubadilisha 'staili ' ya uandishi wako...angalia hizo herufi kubwa na kuweka mabano.Akaunti umebadili ila kuandika ni mtu huyo huyo.Acha utoto mkuu GENTA.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Stress mbaya Sana ndugu kama unataka kazi na unatafuta upati nikupe connection kama hupo dar es salaam ulizia sehemu panaitwa tazara Kuna kiwanda cha ngano cha bakharesa au vingungut kule Kuna viwanda vingi Kuna Pepsi, MO juice jamahl steel kama hupo mwenge ulizia kiwanda cha Coca-Cola nenda na barua yako ya serikali ya mtaa unaoishi nakuambia wewe tu utakuja kunishukuru baadae ukipata na uwakika lazima upate na amini kidogo itakusadia kuondoa stress
 
Genta we ni mchonganishi sana,hili swala la kupigwa au kutopigwa raia we unachofanya ni kungata na kupuliza.Na unafanya kulikuza kupita maelezo.Yaan upande wa jw upo na upande wa raia upo.Unasagia kunguni huku alafu unageuga upande wa pili unafanya hivyo hivyo.
 
Tena wasiishie tu Kuwapiga bali wamalize na Shughuli kabisa hadi Raia mkome. Yaani mnaua Afande ( tena Luteni Kanali ) halafu mnataka mchekewe tu? Mpigwe kabisa.

Lakini mtuhumiwa alikamatwa, ilitakiwa wamalizane naye.
 
Sijui kwanini yule muda mwingine anazo hoja za msingi kabisa. Lakini mkibishana kidogo anakuwa mbogo. Jamaa hapendi kukosolewa kabisa.​

Hata Hilo Mimi naliona kwake. Anatumia matusi Kama Ulinzi.
 
Kaja na Id nyingine kashindwa kubadilisha muandiko[emoji134][emoji1787][emoji134][emoji1787]
Kitu kinachomfelisha ili asijulikane akitumia ID nyingine ni Mwandiko tu.

Kuna watu humu wana ID nyingi ila huwezi kuzigundua kabisa kwa sababu kila ID ina mwandiko wake wa kipekee, zingine zinaenda mbali kabisa kwa kuspecialize kwenye mada.
 
Back
Top Bottom