econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Umesoma cuba gani?? Unashindwa kuelewa vitu vidogo kama hv!!!
Ipo hv Genta ndiye MINOCYCLINE
Na mara nyingi hujitikeza pale amabapo Genta kapigwa ban.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesoma cuba gani?? Unashindwa kuelewa vitu vidogo kama hv!!!
Ipo hv Genta ndiye MINOCYCLINE
Zipo mkuu
Don Kisandu Kijana aliesumbua sana Kwenye Siasa za Bavicha pale Tanga
Chadema wamemtelekeza kijana wao
KWahiyo unataka kusema nchi hii haina sheriaKuna Member Mmoja ( maarufu sana hapa Jamiiforums ) ila nimemsahau tu Jina amekuwa akianzisha Threads nyingi tu za Kuwalaumu Wanajeshi wa Lugalo ( hasa MP ) kwa Wiki iliyopita Kukamata Watu, Kuwatesa na Kuwapiga baada ya Raia wa Kawe Dereva Bajaji Kumuua kwa Kumchoma na Kisu Moyoni Askari wa JWTZ ( Luteni Kanali ) kutokana na Bangi zake Kichwani.
MINOCYCLINE nawalaumu mno Wanajeshi wa Lugalo ( hasa MP ) kwa kuishia Kuwatesa na Kuwajeruhi tu hao Raia na baadae Kuwaachia huru Wakipumua kwa kuwaonea Huruma.
CDF Gen. Mkunda tafadhali Wanajeshi wako wasiwaonee Huruma kabisa Raia ( hasa wa Kawe ) na Kwingineko pale Raia wakikosea kwa Makusudi na Wakiwadhuru Wanajeshi wako bali naomba wawe Wanawapiga Kikatili na ikibidi wawe wanamaliza Shughuli kabisa ili Raia washikwe na Adabu na wajifunze Kuliheshimu Jeshi na Kuwaheshimu Wanajeshi ambao wamejitoa Mhanga Kuwalinda na Kulinda Mipaka yote ya Tanzania.
MINOCYCLINE kama Mtetezi Mwandamizi wa Wanajeshi ( JWTZ ) na Shabiki wa Vitendo vyote vya kutia Adabu vinavyofanywa na Wanajeshi ( hasa MP ) kwa Raia nasema iwe mwanzo na mwisho Kulikosoa na Kulichokoza Jeshi Bora Afrika ya Mashariki na Kusini mwa Afrika la JWTZ na msipobadilika mtastahili tu Kukamatwa, Kupigwa, Kuteswa na hata Kuwahisha nao Sakafuni / Udongoni vile vile.
Umemsahau na Cognizant!! Yaani jamaa anawachezea tu akili Mods. 😁 Ukimpiga ban, anaibuka na ID's zake nyingine.Hahahahahhahahahhahhh! akirudi kifungoni kutakuwa na battle Kati ya GENTAMYCINE na MINOCYCLINE ..
Wasomi wa Cuba tumekatazwa kujihusiha na magomvi ya watu binafsi tutakaa pembeni kushudia mtanange..
Hivi Mimi Huwa sielewi misemo yenu ya kuwa mliosomea Cuba ,Cuba mlienda kusomea Nini??Hahahahahhahahahhahhh! akirudi kifungoni kutakuwa na battle Kati ya GENTAMYCINE na MINOCYCLINE ..
Wasomi wa Cuba tumekatazwa kujihusiha na magomvi ya watu binafsi tutakaa pembeni kushudia mtanange..
Yaani unaliita jeshi imara la police? Kweli wewe ni unga aisee police ni imara kuliko JWTZ?Wakati majeshi ya kisasa yanasifiwa kwa kua na modern technology na precision equipment na kulinda raia wake popote walipo duniani, hapa Kuna jeshi linasifiwa kwa kupiga wanawake, wazee na watoto wanaopashwa kuwalinda wasio na hatia.
Mtuhumiwa Yuko polisi, badala ya kumfuata huko polisi wanakuja kupiga wanawake na vikongwe.
Halafu MTU anajitoa ufahamu kabisa anasifia a bunch of hooligans.
Wangekua wanaume kweli wsngemfuata mtuhumiwa kwa jeshi imara la polisi ndio wangejua hawajui na maji wangeita mma.
Elewa maana ya Entertainer and game changer 😆😆Me nataka kujua huyu jamaa anajishughulisha na nini hadi kuwa na muda wa kuongoza page mob namna hii, Imagine mtu anaandika nyuzi moja, Anaenda acc nyingine anaandika tena, Then anaenda nyingine anajiunga mkono akiona haitoshi anaenda kuandika nyingine ya kujipinga 😁😁😁😁 Asee salute mwamba
Ujasusi wa kubaini mambo siri ,mafumbo ,yalifichwa ,nyuma ya siri nk..Hivi Mimi Huwa sielewi misemo yenu ya kuwa mliosomea Cuba ,Cuba mlienda kusomea Nini??
Jeshi lilitakiwa liwaue japo raia kumi kufidia kifo cha kanali mmoja. Hapo ndio raia wangejua jeshi sio chombo cha kichezea.Kwa hivyo unaunga mkono jeshi la wananchi kuwapiga wananchi.
ila Genta aisee si Muandiko wako huu Mzee 🤣😀I'm MINOCYCLINE okay?
Mic u too., niaje?
🤣🤣🤣 Ila we jamaa 🙌I'm MINOCYCLINE okay?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kuna Member Mmoja ( maarufu sana hapa Jamiiforums ) ila nimemsahau tu Jina amekuwa akianzisha Threads nyingi tu za Kuwalaumu Wanajeshi wa Lugalo ( hasa MP ) kwa Wiki iliyopita Kukamata Watu, Kuwatesa na Kuwapiga baada ya Raia wa Kawe Dereva Bajaji Kumuua kwa Kumchoma na Kisu Moyoni Askari wa JWTZ ( Luteni Kanali ) kutokana na Bangi zake Kichwani.
MINOCYCLINE nawalaumu mno Wanajeshi wa Lugalo ( hasa MP ) kwa kuishia Kuwatesa na Kuwajeruhi tu hao Raia na baadae Kuwaachia huru Wakipumua kwa kuwaonea Huruma.
CDF Gen. Mkunda tafadhali Wanajeshi wako wasiwaonee Huruma kabisa Raia ( hasa wa Kawe ) na Kwingineko pale Raia wakikosea kwa Makusudi na Wakiwadhuru Wanajeshi wako bali naomba wawe Wanawapiga Kikatili na ikibidi wawe wanamaliza Shughuli kabisa ili Raia washikwe na Adabu na wajifunze Kuliheshimu Jeshi na Kuwaheshimu Wanajeshi ambao wamejitoa Mhanga Kuwalinda na Kulinda Mipaka yote ya Tanzania.
MINOCYCLINE kama Mtetezi Mwandamizi wa Wanajeshi ( JWTZ ) na Shabiki wa Vitendo vyote vya kutia Adabu vinavyofanywa na Wanajeshi ( hasa MP ) kwa Raia nasema iwe mwanzo na mwisho Kulikosoa na Kulichokoza Jeshi Bora Afrika ya Mashariki na Kusini mwa Afrika la JWTZ na msipobadilika mtastahili tu Kukamatwa, Kupigwa, Kuteswa na hata Kuwahisha nao Sakafuni / Udongoni vile vile.
Kuna kitu unachanganya kuna jeshi na kuna wanajeshi,wanajeshi ni watu mchanganyiko kuna wanaopenda kuheshimiwa hawa hawanaga tatizo kabisa hueshimu utu wa raia pia,sasa kuna hawa wengine ndo shida,na ndo maana jeshini wanafundisha sana nidham,kwa sababu wanajuaKuna Member Mmoja ( maarufu sana hapa Jamiiforums ) ila nimemsahau tu Jina amekuwa akianzisha Threads nyingi tu za Kuwalaumu Wanajeshi wa Lugalo ( hasa MP ) kwa Wiki iliyopita Kukamata Watu, Kuwatesa na Kuwapiga baada ya Raia wa Kawe Dereva Bajaji Kumuua kwa Kumchoma na Kisu Moyoni Askari wa JWTZ ( Luteni Kanali ) kutokana na Bangi zake Kichwani.
MINOCYCLINE nawalaumu mno Wanajeshi wa Lugalo ( hasa MP ) kwa kuishia Kuwatesa na Kuwajeruhi tu hao Raia na baadae Kuwaachia huru Wakipumua kwa kuwaonea Huruma.
CDF Gen. Mkunda tafadhali Wanajeshi wako wasiwaonee Huruma kabisa Raia ( hasa wa Kawe ) na Kwingineko pale Raia wakikosea kwa Makusudi na Wakiwadhuru Wanajeshi wako bali naomba wawe Wanawapiga Kikatili na ikibidi wawe wanamaliza Shughuli kabisa ili Raia washikwe na Adabu na wajifunze Kuliheshimu Jeshi na Kuwaheshimu Wanajeshi ambao wamejitoa Mhanga Kuwalinda na Kulinda Mipaka yote ya Tanzania.
MINOCYCLINE kama Mtetezi Mwandamizi wa Wanajeshi ( JWTZ ) na Shabiki wa Vitendo vyote vya kutia Adabu vinavyofanywa na Wanajeshi ( hasa MP ) kwa Raia nasema iwe mwanzo na mwisho Kulikosoa na Kulichokoza Jeshi Bora Afrika ya Mashariki na Kusini mwa Afrika la JWTZ na msipobadilika mtastahili tu Kukamatwa, Kupigwa, Kuteswa na hata Kuwahisha nao Sakafuni / Udongoni vile vile.
Huyu ni kilazaMe nataka kujua huyu jamaa anajishughulisha na nini hadi kuwa na muda wa kuongoza page mob namna hii, Imagine mtu anaandika nyuzi moja, Anaenda acc nyingine anaandika tena, Then anaenda nyingine anajiunga mkono akiona haitoshi anaenda kuandika nyingine ya kujipinga [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Asee salute mwamba